Jinsi ya Kujisajiri na Mfumo wa Maombi ya Ajira TAMISEMI
Serikali ya Tanzania kupitia Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeweka mfumo wa kidigitali unaorahisisha upatikanaji wa ajira kwa waombaji wa nafasi mbalimbali serikalini. [Read Post]
