Chuo cha Ualimu Kiuma Teachers College courses offered na Sifa za Kujiunga
Chuo cha Ualimu Kiuma ni mojawapo ya vyuo vinavyotoa mafunzo ya walimu Tanzania. Lengo lake kuu ni kuwezesha walimu bora walio na ujuzi, maadili na maarifa ya kutosha wa kufundisha [Read Post]
