Linapokuja swala la Maamuzi ni shule gani sahihi kwa mwanao kusoma ili kukamilisha elimu yake kuna vitu muhimu vya kuzigatia kama vile viwango vya ufaulu vya miaka mitatu ya hivi karibuni,Madhari ,maadili na miundombinu kama ni rafiki kwa Mtoto makala hii tumekuandikia orodha ya shule bora za serikali kwa masomo ya Advance.
Orodha ya Shule Nzuri za Advanced za Serikali Tanzania
uchaguzi wa shule nzuri ya sekondari ya juu (Kidato cha Sita/A-Level) ya Serikali nchini Tanzania ni muhimu sana kwa maisha ya baadaye ya mwanafunzi. Shule nzuri ya Serikali inaweza kumpa mwanafunzi elimu bora kwa gharama nafuu, pamoja na walimu wenye sifa na mazingira ya ushindani yatakayomsaidia kufikia malengo yake. Hapa chini ni orodha ya baadhi ya shule hizo ambazo zimejitolea kutoa elimu bora na kusaidia wanafunzi kujiandaa vyema kwa maisha ya baadaye:
- Tabora Boys Secondary
- Ilboru Secondary
- Mzumbe Secondary
- Kilakala Secondary
- Kibaha Secondary
- Tabora Girls Secondary
- Kisimiri Secondary
- Kibaha Secondary School
- Kamagi Secondary School
- Nachingwea Secondary School
- Dareda Secondary School