Abood Bus Services Namba za Huduma kwa Wateja

Abood Bus Services Namba za Huduma kwa Wateja
Abood Bus Services Namba za Huduma kwa Wateja

Kwa Watumiaji wa Mabasi ya Kampuni ya abood au Abood Bus Services Wanashauriwa kuwasiliana na Kampuni kwa namba au email elekezi ili kujipatika Huduma na kuepukana na Matapeli,Hapa tumekuwekea Mawasiliano ya Abood bus services.

Mawasiliano ya Huduma kwa Wateja Abood Bus

Mawasiliano ya Huduma kwa Wateja Abood Bus

  • Simu: Unaweza kuwasiliana na Abood Bus kupitia namba ya simu +255 748 771 551 kwa msaada wa haraka na maswali yoyote kuhusu safari zako.
  • Barua Pepe: Kwa maswali au maoni, unaweza kutuma barua pepe kwa customercare@aboodbus.co.tz. Hii ni njia nzuri ya kupata msaada wa kina na maelezo zaidi kuhusu huduma zao.
  • Anwani ya Ofisi: Abood Bus Service Limited iko katika P.O Box 127, Morogoro, Tanzania, Msamvu. Unaweza kutembelea ofisi yao kwa msaada wa ana kwa ana.
SOMA HII :  Bei ya Iphone 16 Pro Tanzania
About Burhoney 4810 Articles
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati