Close Menu
swahiliforums.com
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
BOFYA HAPA
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
Home » Nafasi za kazi Mkulazi Holding Company June 2025
Ajira Mpya

Nafasi za kazi Mkulazi Holding Company June 2025

BurhoneyBy BurhoneyJune 2, 2025No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Telegram WhatsApp
Nafasi za kazi Mkulazi Holding Company June 2025
Nafasi za kazi Mkulazi Holding Company June 2025
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp

Uongozi wa kampuni ya Mkurazi ambayo inajishughulisha na Uzalishaji wa sukari wametangaza ajira mpya zaidi ya 180 za kazi kwa Watanzania, Kwa mujibu wa tangazo la Juni 2025, MHCL inakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa kwa nafasi mbalimbali za muda mfupi katika msimu wa uzalishaji wa sukari wa 2025/2026. Nafasi hizi ni fursa kwa wale wanaotafuta uzoefu katika sekta ya viwanda na kuchangia katika moja ya sekta muhimu za uchumi wa Tanzania.

Mkulazi Holding Company Ltd (MHCL), kampuni inayomilikiwa kwa ubia kati ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Prison Corporation Sole (PCS), imetangaza nafasi mbalimbali za ajira kwa msimu wa uzalishaji wa sukari wa 2025/2026 katika kiwanda chake cha Mbigiri kilichopo Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro.

MHCL ilianzishwa mwaka 2016 kwa lengo la kuzalisha sukari na bidhaa zinazohusiana, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Tanzania kuwa nchi ya viwanda ifikapo 2025. Kampuni hii inaendesha miradi mikubwa ya sukari, ikiwa ni pamoja na uzalishaji wa sukari ya viwandani, ethanol, na umeme wa joto.

Nafasi za kazi zilizotangazwa na Mkulazi Holding Company

S/NSectionPosition TitleNumber of Vacancies
1LogisticOffice Attendant1
2BoilerBagasse Feeder Attendant3
3BoilerAttendant – MBC3
4BoilerAttendant – Bagasse Shed3
5BoilerAttendant – Bagasse Elevator3
6BoilerAttendant – ESP3
7BoilerAttendant – Turbine1
8Electrical & InstrumentalElectrical Attendant3
9Electrical & InstrumentalInstrumentation Attendant3
10LaboratoryLaboratory Sampler12
11LaboratoryMolasses & Weighbridge Attendant2
12LaboratoryCane Inspector3
13Mill SectionAttendant – Mill9
14Mill SectionArcer – Mill Rollers3
15Mill SectionCane Unloader Operator9
16Mill SectionOperator – Sling Unloader6
17Mill SectionOperator – Feeder Table3
18Mill SectionAttendant – Cane Carriers15
19Raw HouseCondensate Attendant3
20Raw HouseLime Attendant3
21Raw HouseClarifier Attendant3
22Raw HouseMud Filter Attendant3
23Raw HouseMagma & Melter Attendant3
24Raw HouseCrystallizer Attendant3
25Raw HouseInjection & Spray Pump Attendant3
26Raw HouseStitching Machine Operator6
27Raw HouseBag Guider3
28Raw HouseCheck Weigher6
29Raw HouseBag Weigher6
30Raw HouseHousekeeping Attendant8
31Raw HouseSugar Dryer Attendant3
32Maintenance & WorkshopWorkshop Attendant1
33Maintenance & WorkshopAssistant Fitter3
34Pool GangPool Gang Supervisor1
35Pool GangPool Gang Team (FFE, Heater Scrapping, Firewood Ops)10
36Pre-Pack StationMachine Operator3
37Pre-Pack StationBailer Stitching Operator3
38Pre-Pack StationBailer Filler Attendant12
39Pre-Pack StationTally Clerk Attendant3
40Pre-Pack StationBag Collector Attendant1
41Refinery HouseCondensate Attendant3
42Refinery HouseCrystallizer / Dry Seed Attendant3
43Refinery HouseMelt Clarification / Desweeting Operator3
44Refinery HouseDecolorization / Chemical Handler3
45Refinery HouseMagma & Melter / Refinery Pump Attendant3

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

 

Follow on Telegram Follow on WhatsApp
Share. Facebook Twitter Email Telegram WhatsApp
Burhoney
  • Website

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

Related Posts

Nafasi 137 za Kazi Kutoka UTUMISHI – Taasisi Mbalimbali Juni 2025

June 13, 2025

Nafasi 83 za Kazi Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) June 2025

June 12, 2025

Nafasi za Kazi – NARCO (Kampuni ya Ranchi za Taifa) – Juni 2025

June 12, 2025

Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal Utumishi PSRS 2025 PDF Download

June 12, 2025

Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI na Ajira Portal 2025

June 12, 2025

Matokeo ya Usaili Ajira Portal 2025 / 2026 Utumishi wa Umma PSRS

June 12, 2025
Leave A Reply Cancel Reply

Latest Posts

Nafasi 137 za Kazi Kutoka UTUMISHI – Taasisi Mbalimbali Juni 2025

June 13, 2025

Nafasi 83 za Kazi Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) June 2025

June 12, 2025

Nafasi za Kazi – NARCO (Kampuni ya Ranchi za Taifa) – Juni 2025

June 12, 2025

Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal Utumishi PSRS 2025 PDF Download

June 12, 2025

Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI na Ajira Portal 2025

June 12, 2025
Load More

Subscribe to Updates

Usipitwe na Habari zetu za kila siku Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu Kwa Kuandika Email yao Hapo chini

SwahiliForums Ni jukwaa la Habari na Makala mbalimbaali kwa Lugha kiswahili Habari za Michezo,Elimu, Biashara,Ajira Mpya na Dondoo za Afya Endelea kutufuatilia kwa kutembelea site yetu SwahiliForums.com

Karibu kwenye Swahiliforums, jukwaa lako la kipekee kwa habari, maarifa, na mijadala inayoangazia masuala ya kijamii, uchumi, na utamaduni kutoka kwa mtazamo wa Kiswahili. Hii ni blog ambayo inalenga kutoa taarifa za kina kuhusu matukio ya sasa, maisha ya kila siku, na masuala muhimu yanayoathiri jamii zetu katika eneo la Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

swahiliforums.com
Facebook X (Twitter) Instagram WhatsApp Telegram Pinterest
Copyrights reserved @2025 swahiliforum.com

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.