Anahitajika Mdada wa kuuza Duka la Vifaa ya simu DSM Mwenye sifa na Vigezo vilivyoainishwa Kwenye Picha Hapa chini ,Mshahara ni 400,000 kwa Mwezi na Mshahara unaweza ukaongezeka kutokana na Utendaji kazi na Kujituma kwa Muajiriwa.
Maombi yote Yatumwe kwenye Email ifuatayo: Phoneaccessories2025@gmail.com
Mwisho wa kupokea Maombi TAREHE 5 ,Mwezi wa 5 mwaka 2025