Nafasi 83 za Kazi Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) June 2025

Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) unatoa nafasi 83 za kazi kwa wataalamu na wafanyakazi mbalimbali wanaotaka kushiriki katika juhudi za maendeleo ya barabara za taifa. Hii ni fursa muhimu kwa Watanzania wenye sifa husika kujiunga na shirika linalochangia kwa kiasi kikubwa huduma bora kwenye miundombinu ya barabara katika Tanzania Bara

Muhtasari wa Nafasi – Hesabu 83

KitengoNafasi
Weighbridge Officer12
Technician II15
Driver II20
Highway Engineer3
Materials Engineer2
Bridge Engineers4
CAD Technician2
Surveyors/Inspectors6
Office Secretary3
Accounts Assistant I5
Jumla83

NAFASI 83 za Kazi Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS)

Ili kuweza kusoma vigezo na njia ya kutuma maombi tafadhari bonyeza kwenye kila nafasi ya kazi hapo chini;

Soma: Nafasi za Kazi – NARCO (Kampuni ya Ranchi za Taifa) – Juni 2025

SOMA HII :  Nafasi za kazi Zilizotangazwa Leo Ajira Portal 2025
About Burhoney 4806 Articles
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati