Watendaji huwa wanalipwa shilingi ngapi?Limekuwa ni swali maarufu kwa waomba ajira za mtendaji kata wanakuwa na shauku ya kutaka kujua mshahara wao mtarjiwa wa kazi wanayoiomba Hapo chini tumekuainishia kiwango cha mshahara wa mtendaji mtaa
Majukumu ya Afisa Mtendaji mtaa
Mtendaji wa mtaa ni afisa anayeshughulikia masuala mbalimbali ya kiutawala katika eneo lake. Kazi zao zinajumuisha:
- Kusimamia shughuli za maendeleo ya jamii.
- Kuandaa na kutunza rejista za wakazi.
- Kuweka mipango ya maendeleo ya kijamii.
- Kuweka mawasiliano kati ya serikali na wananchi.
Ngazi ya Mshahara
Mshahara wa mtendaji wa mtaa hutofautiana kulingana na ngazi ya mishahara inayotumika katika serikali za mitaa. Kwa kawaida, mtendaji wa mtaa anakuwa katika ngazi ya TGS B, ambapo mshahara wake unakaribia shilingi 390,000 kwa mwezi