Close Menu
swahiliforums.com
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
BOFYA HAPA
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
Home » Meseji za kumuomba msamaha mpenzi wako
Mahusiano

Meseji za kumuomba msamaha mpenzi wako

SMS za Kubembeleza na Kuomba Msamaha kwa Mpenzi
BurhoneyBy BurhoneyMarch 7, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Telegram WhatsApp
Meseji za kumuomba msamaha mpenzi wako
Meseji za kumuomba msamaha mpenzi wako
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp
WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Hizi hapa SMS za Kubembeleza na Kuomba Msamaha kwa Mpenzi,Waswahili husema penzi la kweli sio lile msilogombana bali ni lile mnalsikilizana baada ya kugombana ,Hapa tumeuwekea sms za kumbembeleza mpenzi wao baada ya kumkosea ili akusamehe.

1. Hivi kweli haya ndiyo mapenzi ama naota njozi? Nimefanya kila naloweza kuliimarisha letu penzi lakini naishia kuambulia majonzi, nimekuwa mtu wa kububujikwa na machozi kwa sababu ya lako penzi, kama nimekukosea tafadhali niwie radhi mpenzi, nakupenda na amini wewe pekee ndiye uliyetimiza ndoto yangu ya mapenzi.

2. Hivi ni kosa gani nilililokutendea ambalo sipaswi kusamehewa? Ni kweli nilikosea nahitaji kusamehewa mpenzi, plz naomba nielewe kwani sina mwingine zaidi yako wewe. Luv u

3. Nakiri kweli nimekukosea naomba wako msamaha kwa yote yaliyotokea hakika nimekukwaza.

4. Lakini kwa hakika hii ni mara yangu ya kwanza naamini,naamini utanisamehe laaziz na kunipa nafasi ya kulienzi lako penzi.

5. Unajua nakupenda ila tu umeamua kunitenda rudisha moyo nyuma kisha twende sambamba mapenzi yanavyokwenda.

6. Mapenzi ni usanii ukiigiza utashindwa,mapenzi yanatoka moyoni wengi walioigiza walishatengana,mpenzi wangu usiniache.

7. Penzi la kweli siku zote hudumu,penzi la kitapeli haliishi ugomvi,mpenzi wangu leo nimegundua nakukosea na naahidi kubadilika na kuwa mpenzi mpya na bora,nisamehe .

8. Mpenzi nashukuru nikikuacha nitakuwa ninakufuru mi ndiyo mpenzio na hauna mwenzako mpenzi kuwa huru.

Soma hii :Maneno Matamu ya kumwambia mwanaume na kuuteka moyo wake

9. Japo umeniuzi sina budi kukupa hizi pongezi, sijui umejifunza wapi mapenzi, hakika kwako mi ni mfungwa wa mapenzi! Nakupenza mpenzi nitunziye langu penzi!

10. Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniacha kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yako hifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi, amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda.

SOMA HII :  Mbinu Za Kugeuza Muonekano Wako Wa Mwili uwe Sumaku Kwa Wanawake

11.Siamini kilichotokea, hakika nimekukosea, lakini naapa katu sitorudia, upuuzi niliokufanyia, najua jinsi gani waumia ndiyo maana umeninunia, nisamehe mpenzi nafsi yangu ipate kutulia kwani bila wewe sina thamani katika hii dunia!

12. Kina ninapokukumbuka machozi yanidondoka, hivi leo mwana wa mwenzio ninaumbuka kwa kuparamia mapenzi kwa pupa, ukweli nakupa, hivi sasa najuta! Nisamehe mpenzi.

13. Ni kweli nakiri ndani ya nafsi yangu kwamba nilikukosea mpenzi wangu, naomba unisamehe na unipe nafasi nyingine katika moyo wako mpenzi wangu. Nakupenda sana, pokea busu mwanana….mwaaaaaaaa…

Follow on Telegram Follow on WhatsApp
Share. Facebook Twitter Email Telegram WhatsApp
Burhoney
  • Website

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Related Posts

Madhara ya Kunyonya Maziwa ya Mwanamke

December 21, 2025

Madhara ya mate kwenye uke

December 21, 2025

Madhara ya kunyonya chuchu za mwanamke

December 21, 2025

Madhara ya kunyonya sehemu za siri

December 20, 2025

Video ya mwanafunzi na mwalimu Inayotrend Mtandaoni

December 9, 2025

Connection ya mwalimu na mwanafunzi wa miaka 15 Zimbabwe

December 9, 2025

Comments are closed.

Latest Posts

Zimamoto Recruitment Portal Login:Mfumo wa Maombi ya Ajira Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

December 13, 2025

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Zima moto PDF Download December 2025

December 12, 2025

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs 2026

December 12, 2025

Orodha ya Majina walioitwa kwenye Usaili kada ya Afya na Ualimu Ajira portal December 2025

December 4, 2025

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Kada za Afya na Elimu TAMISEMI

November 26, 2025
Load More

Subscribe to Updates

Usipitwe na Habari zetu za kila siku Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu Kwa Kuandika Email yao Hapo chini

SwahiliForums Ni jukwaa la Habari na Makala mbalimbaali kwa Lugha kiswahili Habari za Michezo,Elimu, Biashara,Ajira Mpya na Dondoo za Afya Endelea kutufuatilia kwa kutembelea site yetu SwahiliForums.com

Karibu kwenye Swahiliforums, jukwaa lako la kipekee kwa habari, maarifa, na mijadala inayoangazia masuala ya kijamii, uchumi, na utamaduni kutoka kwa mtazamo wa Kiswahili. Hii ni blog ambayo inalenga kutoa taarifa za kina kuhusu matukio ya sasa, maisha ya kila siku, na masuala muhimu yanayoathiri jamii zetu katika eneo la Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

swahiliforums.com
Facebook X (Twitter) Instagram WhatsApp Telegram Pinterest
Copyrights reserved @2025 swahiliforum.com

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.