Close Menu
swahiliforums.com
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
BOFYA HAPA
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
Home » Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA 2025 PDF Download
Ajira Mpya

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA 2025 PDF Download

BurhoneyBy BurhoneyMarch 22, 2025Updated:March 22, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Telegram WhatsApp
Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA 2025 PDF Download
Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA 2025 PDF Download
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp
JIUNGE NASI WHATSAPP BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Kama Ulikuwa ni miongoni mwa Walioomba ajira za TRA Zilizotangazwa mapema Mwak huu 2025 Basi makala hii inakuhusu ,Tumekudadavulia Jinsi ya kuangalia Majina kama Umechaguliwa kwenda kwenye Interiew.

Historia Fupi Kuhusu Mamlaka ya Mapato ya Tanzania

Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (kwa Kiingereza: Tanzania Revenue Authority; kifupi: TRA) ni shirika la serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililoanzishwa na Sheria ya Mapato ya Tanzania, Cap. 339 ya mwaka 1995 na kuanza shughuli zake rasmi tarehe 1 Julai 1996.

Katika kutekeleza kazi zake kisheria, TRA inawajibika, katika kusimamia na kutoa sheria au masharti maalum ya sheria zilizowekwa katika ratiba ya kwanza ya Sheria, na kwa lengo la sheria hiyo TRA ina kazi ya kutathimini, kukusanya, na kuhifadhi mapato yote kama ambavyo sheria hizo zinavyosema na ni kwa niaba ya serikali.

Kazi nyingine maalumu za TRA ni hizi zifuatazo. Kwanza, kufuatilia, kusimamia, kuratibu shughuli na kuhakikisha utawala wa haki, ufanisi wa sheria za mapato na idara ya mapato katika mamlaka ya serikali ya Umoja. Pili, kufuatilia na kuhakikisha ukusanyaji wa ada, kodi, mashitaka, au kodi nyingine zozote zilizokusanywa na huduma zozote, idara au mgawanyiko wa serikali kama mapato kwa serikali. Tatu, kumshauri Waziri na viungo vingine vinavyohusika katika masuala yote yanayohusiana na sera ya fedha,Utekelezaji wa sera, na uboreshaji wa sera mara kwa mara kuhusu sheria na utawala wa mapato. Nne, kukuza ufuatiliaji wa kodi kwa kiwango cha juu iwezekanavyo. Tano, kuchukua hatua muhimu ili kuboresha kiwango cha huduma itolewayo kwa walipa kodi kwa lengo la kuboresha ufanisi wa idara za mapato na kuongeza ukusanyaji wa mapato. Sita, kuamua hatua za kuchukuliwa ili kukabiliana na udanganyifu na aina nyingine za kodi na uvamizi mwingine wa kifedha. Saba, kuzalisha takwimu za biashara na machapisho kwa kila robo.

SOMAHII : Mfumo wa Kutuma Maombi ya Ajira Za TRA (TRA Recruitment Portal Login)

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA 2025

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA 2025

Bonyeza kiungo Hapo chini Kuweza kupakua Majina ya Waliotwa kwenye Usaili

Download Majina ya Usaili TRA

JIUNGE NASI WHATSAPP BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA
Follow on Telegram Follow on WhatsApp
Share. Facebook Twitter Email Telegram WhatsApp
Burhoney
  • Website

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

Related Posts

Nafasi 137 za Kazi Kutoka UTUMISHI – Taasisi Mbalimbali Juni 2025

June 13, 2025

Nafasi 83 za Kazi Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) June 2025

June 12, 2025

Nafasi za Kazi – NARCO (Kampuni ya Ranchi za Taifa) – Juni 2025

June 12, 2025

Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal Utumishi PSRS 2025 PDF Download

June 12, 2025

Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI na Ajira Portal 2025

June 12, 2025

Matokeo ya Usaili Ajira Portal 2025 / 2026 Utumishi wa Umma PSRS

June 12, 2025
Leave A Reply Cancel Reply

Latest Posts

Nafasi 137 za Kazi Kutoka UTUMISHI – Taasisi Mbalimbali Juni 2025

June 13, 2025

Nafasi 83 za Kazi Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) June 2025

June 12, 2025

Nafasi za Kazi – NARCO (Kampuni ya Ranchi za Taifa) – Juni 2025

June 12, 2025

Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal Utumishi PSRS 2025 PDF Download

June 12, 2025

Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI na Ajira Portal 2025

June 12, 2025
Load More

Subscribe to Updates

Usipitwe na Habari zetu za kila siku Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu Kwa Kuandika Email yao Hapo chini

SwahiliForums Ni jukwaa la Habari na Makala mbalimbaali kwa Lugha kiswahili Habari za Michezo,Elimu, Biashara,Ajira Mpya na Dondoo za Afya Endelea kutufuatilia kwa kutembelea site yetu SwahiliForums.com

Karibu kwenye Swahiliforums, jukwaa lako la kipekee kwa habari, maarifa, na mijadala inayoangazia masuala ya kijamii, uchumi, na utamaduni kutoka kwa mtazamo wa Kiswahili. Hii ni blog ambayo inalenga kutoa taarifa za kina kuhusu matukio ya sasa, maisha ya kila siku, na masuala muhimu yanayoathiri jamii zetu katika eneo la Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

swahiliforums.com
Facebook X (Twitter) Instagram WhatsApp Telegram Pinterest
Copyrights reserved @2025 swahiliforum.com

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.