Close Menu
swahiliforums.com
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
BOFYA HAPA
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
Home » Majina Waliochaguliwa Kujiunga Chuo Cha Maji Water Institute – WI 2025 /2026
Elimu

Majina Waliochaguliwa Kujiunga Chuo Cha Maji Water Institute – WI 2025 /2026

BurhoneyBy BurhoneyMarch 6, 2025No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Telegram WhatsApp
Majina Waliochaguliwa Kujiunga Chuo Cha Maji Water Institute - WI 2025 /2026
Majina Waliochaguliwa Kujiunga Chuo Cha Maji Water Institute - WI 2025 /2026
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp
WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Chuo cha Maji kina jukumu la kutoa mafunzo kwa wataalamu wanaotumika na wanao tarajia kutumika katika sekta ya maji, mafunzo yamejikita katika masuala ya ujenzi,ukarabati na matengenezo ya miradi ya maji na usafi wa mazingira. Mafunzo yanatolewa kwa muda mfupi na muda mrefu. Bofya hapa kusoma zaidi

Majukumu
Majukumu ya Chuo cha Usimamizi na Maendeleo ya Maji ni kama ifuatavyo:

  • Kutekeleza shughuli za kiutawala na nyinginezo ili kupata ufanisi katika kutoa mafunzo;
  • Kufundisha wataalamu, mafundi sanifu, mafundi bomba kwa ajili ya maendeleo ya sekta ya maji;
  • Kuboresha mitaala na kutengeneza vitendeakazi kwa ajili ya kufundishia karakana na
  • Kutunga na kusimamia mitihani na kuhakikisha hakuna uvujaji wa mitihani.

SOMA HII :Jinsi ya Kuthibitisha Udahili wa Chuo TCU 2025 /2026

Ili kuona majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Maji (Water Institute – WI) kwa mwaka wa masomo 2025, unaweza kufuata hatua zifuatazo:

Majina Waliochaguliwa Kujiunga Chuo Cha Maji

Kwa mwaka wa masomo2025, Chuo cha Maji (Dar es salaam Water Institute – WI) kimechagua jumla ya wanafunzi 403 kujiunga na programu mbalimbali zinazotolewa chuoni hapo. Majina ya waliochaguliwa yanaweza kupatikana kupitia tovuti rasmi ya chuo au kupitia kiunganishi kilichopo mwisho mwa chapisho hili. Programu zinazotolewa kwa mwaka huu ni pamoja na:

  1. Shahada ya Maendeleo ya Jamii katika Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira – Wanafunzi 403 wamechaguliwa kujiunga na programu hii. Programu hii inawaandaa wanafunzi kuwa wataalam wa usambazaji wa maji na usafi wa mazingira katika jamii.
  2. Shahada ya Uhandisi wa Hydrology – Wanafunzi 23 wamechaguliwa kujiunga. Programu hii inalenga kuandaa wataalam wa hydrology, ambao wataweza kushughulikia masuala ya usimamizi wa maji ya juu na chini ya ardhi.
  3. Shahada ya Hydrogeology na Uchimbaji Visima – Wanafunzi 26 wamechaguliwa kujiunga. Programu hii ni maalum kwa wale wanaotaka kuwa wataalam wa hydrogeology na kuchimba visima vya maji.
  4. Shahada ya Uhandisi wa Usafi wa Mazingira – Wanafunzi 41 wamechaguliwa. Programu hii inalenga kuwapa wanafunzi ujuzi wa kusimamia masuala ya usafi wa mazingira na maji taka.
  5. Shahada ya Uhandisi wa Rasilimali za Maji na Umwagiliaji – Wanafunzi 236 wamechaguliwa. Hii ni programu inayolenga kutoa wataalam wa rasilimali za maji na umwagiliaji.
SOMA HII :  Chuo cha Ualimu Tusaale Teachers College Online Applications

Jinsi ya Kuthibitisha Udahili Chuo Cha Maji

Kwa wale waliopata udahili katika zaidi ya chuo kimoja, ni muhimu kuthibitisha udahili wako kwenye chuo kimoja tu.

Uthibitisho huu unaweza kufanyika kwa kutumia namba maalum ya siri ambayo itatumwa kwa njia ya ujumbe mfupi kupitia namba ya simu au barua pepe uliyoitumia wakati wa kutuma maombi. Ni muhimu kufanya uthibitisho huu kabla ya tarehe 21 Septemba, 2025 ili kuhakikisha nafasi yako haipotei.

Mwongozo kwa Wanafunzi Waliokosa Nafasi

Kwa wale ambao hawakufaulu kupata udahili katika awamu ya kwanza, bado mna nafasi ya kuomba katika awamu ya pili ya udahili. TCU imeeleza kuwa awamu ya pili ya udahili itaanza tarehe 03 hadi 21 Septemba, 2024. Hii ni fursa nyengine kwa wanafunzi kuomba kujiunga na programu mbalimbali zinazotolewa na vyuo nchini.

Kwa maelezo zaidi, unaweza kutembelea tovuti rasmi ya Chuo cha Maji (www.waterinstitute.ac.tz) au Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ili kupata taarifa za ziada kuhusu udahili wa mwaka huu.

Follow on Telegram Follow on WhatsApp
Share. Facebook Twitter Email Telegram WhatsApp
Burhoney
  • Website

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Related Posts

Orodha ya Vyuo ya Ualimu Vilivyopo Visiwani Zanzibar (Unguja na Pemba) — Ngazi ya Cheti na Diploma

November 14, 2025

Orodha ya Vyuo ya Ualimu Vilivyopo Mkoa wa Tanga (Ngazi ya Cheti na Diploma)

November 14, 2025

Orodha ya Vyuo ya Ualimu Vilivyopo Mkoa wa Tabora (Ngazi ya Cheti na Diploma)

November 14, 2025

Orodha ya Vyuo ya Ualimu Vilivyopo Mkoa wa Songwe (Ngazi ya Cheti na Diploma)

November 14, 2025

Orodha ya Vyuo ya Ualimu Vilivyopo Mkoa wa Singida (Ngazi ya Cheti na Diploma)

November 14, 2025

Orodha ya Vyuo ya Ualimu Vilivyopo Mkoa wa Simiyu (Ngazi ya Cheti na Diploma)

November 14, 2025

Comments are closed.

Latest Posts

Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Kusimamia Uchaguzi October 2025 :INEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi

October 19, 2025

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili kusimamia uchaguzi 2025 – INEC Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

October 12, 2025

Nafasi 70 Za Kazi Unitrans Tanzania Limited Madereva wa Malori 2025

September 17, 2025

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Karatu 2025

September 13, 2025

Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo 2025

September 13, 2025
Load More

Subscribe to Updates

Usipitwe na Habari zetu za kila siku Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu Kwa Kuandika Email yao Hapo chini

SwahiliForums Ni jukwaa la Habari na Makala mbalimbaali kwa Lugha kiswahili Habari za Michezo,Elimu, Biashara,Ajira Mpya na Dondoo za Afya Endelea kutufuatilia kwa kutembelea site yetu SwahiliForums.com

Karibu kwenye Swahiliforums, jukwaa lako la kipekee kwa habari, maarifa, na mijadala inayoangazia masuala ya kijamii, uchumi, na utamaduni kutoka kwa mtazamo wa Kiswahili. Hii ni blog ambayo inalenga kutoa taarifa za kina kuhusu matukio ya sasa, maisha ya kila siku, na masuala muhimu yanayoathiri jamii zetu katika eneo la Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

swahiliforums.com
Facebook X (Twitter) Instagram WhatsApp Telegram Pinterest
Copyrights reserved @2025 swahiliforum.com

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.