Close Menu
swahiliforums.com
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
BOFYA HAPA
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
Home » Kiwango cha Ada Chuo Kikuu Cha Dar es salaam UDSM
Elimu

Kiwango cha Ada Chuo Kikuu Cha Dar es salaam UDSM

BurhoneyBy BurhoneyMarch 6, 2025Updated:March 6, 2025No Comments9 Mins Read
Share Facebook Twitter Telegram WhatsApp
Kiwango cha Ada Chuo Kikuu Cha Dar es salaam UDSM
Kiwango cha Ada Chuo Kikuu Cha Dar es salaam UDSM
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp
WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ni moja ya taasisi za elimu ya juu zinazojulikana zaidi nchini Tanzania. Kwa zaidi ya miaka 50 ya utendaji, UDSM imekuwa ikitoa elimu bora na kuwaandaa wanafunzi kwa ajili ya changamoto za kazi na maisha. Mojawapo ya maswali makubwa ambayo wanafunzi wengi hujiuliza ni kuhusu kiwango cha ada za masomo. Katika makala hii, tutaangalia kiwango cha ada za UDSM kwa kozi mbalimbali na kutoa mwongozo kwa wanafunzi wanaotaka kujiunga na chuo hiki.

Ada Chuo Kikuu Cha UDSM  (Tuition Fees)

Ada ya masomo chuo kikuu cha UDSM (tuition fees) hutofautiana kulingana na programu unayosoma na uraia wa mwanafunzi. Wanafunzi wa Kitanzania hulipa ada ndogo ikilinganishwa na wanafunzi wa kimataifa. Kwa ujumla, programu za shahada ya kwanza katika taaluma kama vile Humanities zinakuwa na ada ndogo ikilinganishwa na programu za Uhandisi (Engineering) na Teknolojia (Technology).

Jedwali lililopo hapa chini linaonesha Ada za Masomo kwa wanafunzi watakaojiunga na kozi mbalimbali zinazotolewa chuo kikuu cha Dar es salaam UDSM

College of Information and Communication TechnologiesWazawaWageni (USD)
Bachelor of Science in Electronic Science and Communication    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Computer Science    1,500,000            3,500
Bachelor of Science in Computer Engineering and Information Technology  1,500,000            3,500
Bachelor of Science in Telecommunication Engineering    1,500,000            3,500
Bachelor of Science in Electronics Engineering    1,500,000            3,500
Bachelor of Science in Business Information Technology    1,500,000            3,500
College of Humanities
Bachelor of Arts in Education (Shared with CoSS)   1,000,000            2,100
Bachelor of Arts in Heritage Management   1,000,000            2,100
Bachelor of Arts in Language Studies   1,000,000            2,100
Bachelor of Arts in Archaeology    1,300,000            2,700
Bachelor of Arts Literature   1,000,000            2,100
Bachelor of Arts History   1,000,000            2,100
Bachelor of Arts Philosophy and Ethics   1,000,000            2,100
Bachelor of Arts in Archaeology and History    1,300,000            2,700
Bachelor of Arts in Music   1,000,000            2,100
Bachelor of Arts in Film and Television   1,000,000            2,100
Bachelor of Arts in Art and Design   1,000,000            2,100
Bachelor of Arts in Theatre Arts   1,000,000            2,100
Bachelor of Arts in History and Political  Science    1,300,000            2,700
Bachelor of Arts in Archaeology and Geography    1,300,000            2,700
Bachelor of Arts with Education (Chinese and English Language)   1,000,000            2,100
Bachelor of Arts in Diplomatic and Military History    1,300,000            2,700
Bachelor of Arts in Communication Studies    1,300,000            2,700
College of Social Sciences
Bachelor of Arts in Statistics    1,300,000            2,700
B. A. in Geography and Environmental Studies    1,300,000            2,700
B.A in Political Science and Public Administration    1,300,000            2,700
Bachelor of Arts in Sociology    1,300,000            2,700
Bachelor of Arts in Psychology   1,000,000            2,100
Bachelor of Arts in Social Work    1,300,000            2,700
Bachelor of Arts Anthropology   1,000,000            2,100
B.A in Library Information Studies    1,300,000            2,700
College of Natural and Applied  Sciences
Bachelor of Science in Chemistry    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Molecular Biology and Biotechnology    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Wildlife Science and Conservation    1,300,000            2,700
Bachelor of Science with Education    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Actuarial Sciences    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Applied Zoology    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Microbiology    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Meteorology    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Petroleum Chemistry    1,300,000            2,700
Bachelor of Science and Mathematics and Statistics    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Chemistry and Physics    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Applied Microbiology and Chemistry    1,300,000            2,700
College of Engineering and Technology
Bachelor of Architecture    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Civil Engineering    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Electrical Engineering    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Chemical and Process Engineering    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Mechanical Engineering    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Industrial Engineering    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Petroleum Engineering    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Textile Design and Technology    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Textile Engineering    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Geomatics    1,100,000            2,700
Bachelor of Science in Quantity Surveying    1,100,000            2,700
College of Agricultural Sciences and Food Technology
Bachelor of Science in Food Science and Technology    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Beekeeping Science and Technology    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Agricultural Natural Resources Economics and Business    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Crop Science and Technology    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Agricultural Engineering and Mechanization    1,300,000            2,700
Mbeya University College of Health and Allied Sciences
Doctor of Medicine   1,800,000            5,672
School of Education
Bachelor of Education in Early Childhood Education   1,000,000            2,100
Bachelor of Education in Adult and Community Education   1,000,000            2,100
Bachelor of Education in Commerce   1,000,000            2,100
Bachelor of Education in Physical Education and Sport Sciences   1,000,000            2,100
Bachelor of Education in Psychology   1,000,000            2,100
Bachelor of Arts in Gender Studies and Community Development   1,000,000            2,100
UDSM Business School
Bachelor of Commerce in Tourism Management    1,300,000            2,700
Bachelor of Business Administration (Evening)    1,300,000            2,700
Bachelor of Commerce in Human Resources Management    1,300,000            2,700
Bachelor of Commerce in Marketing    1,300,000            2,700
Bachelor of Commerce in Finance    1,300,000            2,700
Bachelor of Commerce in Banking and Financial Services    1,300,000            2,700
Bachelor of Commerce in Accounting    1,500,000            3,500
UDSM School of Law
Bachelor of Arts in Law Enforcement    1,300,000            2,700
Bachelor of Laws (LLB)    1,500,000            3,500
School of Journalism and Mass Communication
Bachelor of Arts in Journalism    1,300,000            2,700
Bachelor of Arts in Mass Communication    1,300,000            2,700
Bachelor of Arts in Public Relations and Advertising  1,300,000            2,700
School of Aquatic Sciences and Fisheries Technology
Bachelor of  Science in Aquatic Sciences and Fisheries    1,300,000            2,700
UDSM School of Economics
Bachelor of Arts in Economics    1,300,000            2,700
Bachelor of Arts in Economics and Statistics    1,300,000            2,700
School of Mines and Geosciences
Bachelor of Science in Geology and Geothermal Resources    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Geology    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Petroleum Geology    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Mining Engineering    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Metallurgy and Mineral Processing    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Engineering Geology    1,300,000            2,700
Bachelor of Science with Geology    1,300,000            2,700
Institute of Kiswahili Studies
Bachelor of Arts in Kiswahili   1,000,000            2,100
Institute of Development Studies
Bachelor of Arts in Development Studies   1,000,000            2,100
Institute of Marine  Sciences
Bachelor of Science in Marine Sciences   1,300,000            2,700
Dar es Salaam University College of Education
Bachelor of Education in Arts  1,000,000            2,100
Bachelor of Arts with Education   1,000,000            2,100
Bachelor of Education in Science    1,300,000            2,700
Bachelor of Science with Education    1,300,000            2,700
Bachelor of Arts in Disaster Risk Management    1,300,000            2,700
Mkwawa University College of Education
Bachelor of Education in Arts   1,000,000            2,100
Bachelor of Arts with Education   1,000,000            2,100
Bachelor of Education in Science    1,300,000            2,700
Bachelor of Science with Education    1,300,000            2,700
Bachelor of Science in Chemistry    1,300,000            2,700
SOMA HII :  Mamire Teachers College Contact Number,Email,Website na Address

Gharama za Moja kwa Moja za Chuo (Direct University Costs)

Mbali na ada za masomo, wanafunzi wote wanalazimika kulipa gharama za moja kwa moja za chuo ambazo ni pamoja na ada ya usajili, ada ya mtihani, na ada ya huduma za afya. Gharama hizi ni muhimu na zinahitajika kabla ya mwanafunzi kuruhusiwa kutumia huduma mbalimbali chuoni.

Gharama za Moja kwa Moja:

  • Ada ya usajili: TZS 5,000 kwa Watanzania na USD 100 kwa wanafunzi wa kimataifa.
  • Ada ya mtihani: TZS 12,000 kwa Watanzania na USD 120 kwa wanafunzi wa kimataifa.
  • Ada ya matibabu: TZS 50,400 kwa Watanzania na USD 125 kwa wanafunzi wa kimataifa.

Jumla ya gharama hizi kwa mwanafunzi wa Kitanzania ni TZS 97,400 na kwa mwanafunzi wa kimataifa ni USD 375.

Soma hii : Ada za Masomo ya Udereva Chuo cha NIT

Gharama za Moja kwa Moja kwa Mwanafunzi (Direct Student Costs)

Pamoja na gharama zinazolipwa moja kwa moja chuoni, wanafunzi wanatakiwa kujigharamia baadhi ya mahitaji yao binafsi kama vile vifaa vya kusomea na gharama za chakula na malazi. Kiwango kilichopendekezwa kwa mahitaji haya kwa mwaka ni:

Posho ya vitabu na vifaa vya kuandikia: TZS 200,000.
Posho ya chakula na malazi: TZS 2,099,000.

Vipengele Vingine Vinavyohusiana na Ada

  • Ada za Nyongeza: Kuna ada za ziada kama vile ada ya usajili, ada ya mitihani, na ada ya vitabu.
  • Msaada wa Fedha: Wanafunzi wa kawaida hupata msaada wa serikali, wakati wanafunzi wa kujitegemea wanatakiwa kulipa ada zao wenyewe.
  • Mikopo ya Elimu: Wanafunzi wanaweza kufanya maombi ya mkopo wa elimu kupitia Higher Education Students’ Loans Board (HESLB).
SOMA HII :  Zanzibar School Of Health (ZSH) Student Portal Login

Njia za Malipo ya Ada na Gharama Chuo Cha UDSM

Malipo yote ya ada chuo kikuu cha udsm  yanafanywa kupitia namba maalum za udhibiti (control numbers) zinazotolewa kupitia mfumo wa ARIS (Academic Registration Information System) wa chuo. Malipo yanaweza kufanyika kupitia benki au kwa huduma za kifedha za simu kama vile M-Pesa, Tigo Pesa, na Airtel Money.

Follow on Telegram Follow on WhatsApp
Share. Facebook Twitter Email Telegram WhatsApp
Burhoney
  • Website

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Related Posts

Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST) Arusha courses offered

December 25, 2025

Mzumbe University (MU)

December 25, 2025

Mzumbe University (MU) Contact Details Number na Address

December 25, 2025

Mzumbe University (MU) Prospectus PDF Download

December 25, 2025

Mzumbe University (MU) Admission Letter

December 25, 2025

Mzumbe University (MU) Joining Instruction PDF Download

December 25, 2025

Comments are closed.

Latest Posts

Zimamoto Recruitment Portal Login:Mfumo wa Maombi ya Ajira Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

December 13, 2025

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Zima moto PDF Download December 2025

December 12, 2025

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs 2026

December 12, 2025

Orodha ya Majina walioitwa kwenye Usaili kada ya Afya na Ualimu Ajira portal December 2025

December 4, 2025

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Kada za Afya na Elimu TAMISEMI

November 26, 2025
Load More

Subscribe to Updates

Usipitwe na Habari zetu za kila siku Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu Kwa Kuandika Email yao Hapo chini

SwahiliForums Ni jukwaa la Habari na Makala mbalimbaali kwa Lugha kiswahili Habari za Michezo,Elimu, Biashara,Ajira Mpya na Dondoo za Afya Endelea kutufuatilia kwa kutembelea site yetu SwahiliForums.com

Karibu kwenye Swahiliforums, jukwaa lako la kipekee kwa habari, maarifa, na mijadala inayoangazia masuala ya kijamii, uchumi, na utamaduni kutoka kwa mtazamo wa Kiswahili. Hii ni blog ambayo inalenga kutoa taarifa za kina kuhusu matukio ya sasa, maisha ya kila siku, na masuala muhimu yanayoathiri jamii zetu katika eneo la Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

swahiliforums.com
Facebook X (Twitter) Instagram WhatsApp Telegram Pinterest
Copyrights reserved @2025 swahiliforum.com

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.