King’ori Teachers College Contact Number,Email,Website na Address

King’ori Teachers College Contact Number,Email,Website na Address
King’ori Teachers College Contact Number,Email,Website na Address

King’ori Teachers College ni moja ya vyuo bora vya ualimu nchini Tanzania vinavyotoa mafunzo kwa walimu wa ngazi ya Cheti (Certificate in Teacher Education) na Diploma in Secondary Education (DSE). Chuo hiki kimejikita katika kutoa elimu bora yenye kulenga maadili, ubunifu, na umahiri wa ufundishaji.

Kama wewe ni mwanafunzi unayetaka kujiunga na chuo hiki au mzazi unayetaka kupata taarifa sahihi za chuo, makala hii itakusaidia kupata maelezo yote muhimu kuhusu namba za mawasiliano (contact number), barua pepe (email), tovuti rasmi (website), na anwani kamili ya chuo (address).

PHONE US:

Phone: (+255) 754 255 888
WhatsApp: (+255) 754 255 888

EMAIL:

info@kingoriteachers.com

OPERATING HOURS:

Mon-Fri : 08:00 to 17:00

HEAD OFFICE:

1 Arusha DC,
Sekei, Arusha
Tanzania
P.O.Box 708, Arusha

SOMA HII :  City College of Health and Allied Sciences (ccohas) Courses Offered and Requirements
About Burhoney 4807 Articles
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati