AzamPesa ni huduma ya fedha kwa njia ya simu inayopatikana kwenye iOS na Google Play. Inakupa njia rahisi na ya uhakika ya kutuma/kutoa pesa, kulipa bili, kununua muda wa maongezi, kupata huduma za kibenki, kufanya malipo ya serikali, na kulipia huduma za Azam.
Unaweza kujiandikisha kirahisi kwa kufuata hatua chache, ikiwa ni pamoja na usajili binafsi unapopakua App yetu kwenye simu yako. Ukiwa na AzamPesa, unaweza kusimamia mahitaji yako yote ya kifedha kutoka sehemu moja
Pakua App leo upate urahisi wa kufanya miamala popote pale Tanzania.
Jinsi ya kuwa wakala wa azam pesa
Kama unataka kuwa wakala wa Azampesa yakupasa Ujisajili Hapa