JIUNGE NASI WHATSAPP BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Ikiwa unataka kujifunza jinsi ya kutengeneza sabuni ya magadi nyumbani, fuata mwongozo huu wa hatua kwa hatua.

Malighai za Kutengenezea Sabuni ya Magadi

KiungoKiasi
Magadi1 kikombe
Mafuta ya nazi1 kikombe
Maji1/2 kikombe
Asidi ya citric1/2 kijiko
Rangi (hiari)Kiasi kidogo

Jinsi ya kutengeneza hatua kwa hatua

1) Chukua coustic soda, changanya na maji na uanze kukoroga kuelekea upande mmoja endelea kufanya hivyo hadi vichanganyikane vizur baada ya hapo iache kwa saa 24.

2) Chukua kindoo kidogo na upunguze mafuta lita 3 kwa ajili ya kuweka rangi pembeni,weka rangi vijiko 3 ,changanya na mafuta uliyopunguza lita 3 kisha koroga mpaka yachanganyikane vizur kabisa.

3) Chukua coustic soda uliyoloweka kwenye ndoo kubwa ,kisha tia mafuta na uendelee kukoroga kuekekea upande mmoja kwa nguvu na kwa haraka,tia sodium silgett kwa kunyunyuzia kidogo kidogo, endelea kukoroga hadi vichanganyikane viwe kitu kimoja.

4) Baada ya hapo andaa ndoo nyingine ndogo ,chukuwa uji uliokoroga au mkorogo wako kias kwa ajili ya kuchanganya na rangi mwanzo na mafuta kisha koroga kwa pamoja vichanganyikane vizuri.

5) Kishaa andaa box la kukaushia sabuni na mimina mkorogo wako kwenye box ,kisha chukuwa mkorogo wenye rangi na umimine juu kwa stail ya zigzaga kisha pitisha mwiko ili rangi iingie mpaka chini.

Soma Hii : Jinsi ya kutengeneza Batiki Nzuri Zenye Ubora

Matumizi ya Sabuni ya Magadi

Sabuni ya magadi inatumika sana katika:

Usafi wa Nyumbani: Inatumika katika kufua nguo na kusafisha nyumba.

Viwanda: Sabuni hii pia hutumiwa katika viwanda vya kutengeneza bidhaa mbalimbali za kusafisha.

JIUNGE NASI WHATSAPP BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA
Share.

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

Leave A Reply