Uaminifu kweye Uhusiano sikuhizi umekuwa kitu adimu sana Wapenzi wanasalitiana ,wanaumizana, kulitambua hilo tumekuandalia Makala hii kukupa mbinu Jinsi gani unaweza kuuatilia sms za Mpenzi wako bila yeye mwenyewe kujua.
Njia za Kudivert SMS
1. Kutumia Programu za SMS Forwarding
Programu kama Message Forwarder zinaweza kutumika kudivert SMS kutoka simu moja kwenda nyingine. Programu hizi zinahitaji kusakinishwa kwenye simu ya mpenzi wako na zinahitaji ruhusa za kufikia SMS.
- Pakua Message Forwarder: Unaweza kupakua programu hii kupitia Tanzania Tech.
- Sakinisha na Sanidi: Fuata maelekezo ya kusakinisha na sanidi programu ili SMS ziweze kudivertiwa kwenda kwenye namba yako.
2. Kutumia Huduma za Wingu
Baadhi ya huduma za wingu kama Google Messages zinaweza kusaidia kudivert SMS kwa kutumia akaunti ya Google. Hii inahitaji kufikia simu ya mpenzi wako na kusanidi huduma hii.
- Sanidi Google Messages: Ingia kwenye akaunti ya Google kwenye simu ya mpenzi wako na washa huduma ya wingu ili kuhifadhi na kudivert SMS.
3. Kutumia Programu za Kufuatilia
Programu kama Spyhuman na Mobile Tracker Free zinaweza kusaidia kufuatilia SMS, lakini zinahitaji kusakinishwa kwenye simu ya mpenzi wako. Programu hizi zinaweza kufuatilia ujumbe wa SMS na shughuli nyingine za simu.
Soma hii :Namba za Wachumba WhatsApp
- Pakua na Sakinisha Programu ya Kufuatilia: Tembelea Spyhuman kwa maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kutumia programu hizi.
Kujua Kama Mtu Anasoma Meseji Zako Bila Wewe Kujua
Hakuna Njia ya moja kwa moja kujua ila badala yake kuna njia za kiusalama kujilinda ili mtu asiweze kufuatilia maasiliano yako kama vile
Weka Anti Virus ya Kaspersky Mobile
Pendelea Kuzima Internet Baada ya Kutumia
Angalia Alama Uzizo zijua Sehemu ya Notification
Angalia sehemu ya Accessibility