Bei wametatangaza Muongozo wa Bei mpya ya mafuta ya petroli na Dizeli kwa mkoa yote nchini ,Bei hizi hutofautiana tokana na Umbali mkoa au mahala husika.
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati