Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita (ACSEE) ni hatua muhimu kwa wanafunzi wanaomaliza elimu ya sekondari ya juu nchini Tanzania. Matokeo haya huamua fursa za kujiunga na elimu ya juu na taaluma mbalimbali. Tarehe ya Kutangazwa kwa Matokeo ya Kidato cha Sita 2025/2026 Kwa mujibu wa ratiba ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), matokeo ya Kidato cha Sita kwa mwaka 2025 yanatarajiwa kutangazwa mwezi Julai 2025 . Hii ni baada ya kukamilika kwa mitihani mnamo Mei 2025 Orodha ya Masomo Yaliyotahiniwa – ACSEE 2025 Masomo yaliyotahiniwa katika mtihani wa ACSEE 2025 ni pamoja na: Sayansi: Fizikia,…
Browsing: Matokeo ya Mitihani
Matokeo ya Mitihani
Read More