Browsing: Makala

Makala

Faham hatua za utengeneza chakula cha kuku wa nyama ili kupunguza gharama za ufugaji na uongeze faida katika biashara yako ya ufugaji. Tumekuandalia Makala hii kukuelekeza hatua kwa hatua namna unavyoweza kuzalisha chakula cha kuku wako wa nyama nyumbani kwako ili kupunguza gharama zisizo za lazima. Mahitaji Muhimu ya Lishe kwa Kuku wa Nyama Chakula cha kuku wa nyama kinapaswa kuwa na virutubisho vifuatavyo ili kufanikisha ukuaji wa haraka na afya bora: Protini Hii ni muhimu kwa ukuaji wa misuli ya kuku. Vyanzo bora vya protini ni dagaa, soya, alizeti, mende wa kufugwa, na mabaki ya nyama. Wanga Wanga ni…

Read More

Biashara ya nguo za ndani ni miongoni mwa Biashara iliyowatoa kimaso maso vijana wengi ni biashara ya nguo za ndani almaarufu kama vizibo vya Asali hapa tumekuwekea mchanganuo wote Hatua kwa hatua jinsi ya kuanzisha biashara hiyo. Hatua za Kuanzisha Biashara ya Kuuza Chupi 1. Utafiti wa Soko Mahitaji ya Soko: Fanya utafiti wa soko ili kuelewa mahitaji ya chupi katika eneo lako. Tafiti kuhusu wateja walengwa (wanawake, watoto), maeneo yenye uhitaji mkubwa (karibu na shule, vyuo, ofisi, na masoko), na aina za chupi zinazopendwa zaidi. Ushindani: Angalia washindani wako na elewa jinsi wanavyofanya biashara. Elewa bei za soko na…

Read More