Browsing: Elimu

Elimu

CV Moja tu inatosha kukupa kazi ya ndoto yako ukijua jinsi ya kuandia CV yenye ubora itakayoutoautisha na wengine na kumvutia muajiri kukupa kazi,Fuatana nasi hatua kwa hatua ujifunze jinsi ya kuandika CV bora na si bora CV. CV ni Nini? CV ni muhtasari wa maandishi unaoonyesha sifa zako za kitaaluma, uzoefu wa kazi, elimu, na ujuzi wako. Kwa kawaida waajiri hutumia CV kutathmini kama mwombaji ana sifa zinazolingana na mahitaji ya kazi. CV Bora ni Ipi? Ukurasa Mmoja au Kurasa mbili hadi tatu? CV bora ni ile yenye kurasa mbili hadi tatu. Watu wengi wanapojifunza namna ya kuandika CV,…

Read More