Tamisemi wametangaza majina ya wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga Vyuo vya kati kwa Mwaka wa masomo 2025, Majina haya ni Wanafunzi waliohitimu kidato cha nne mwaka 2024 na kupata alama za Ufaulu zinazokidhi sifa na Vigezo vya vyuo vya kati. Mchakato huu unazingatia mambo kadhaa muhimu kama ifuatavyo: Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne: Kigezo kikuu katika mchakato wa uteuzi ni matokeo ya mwanafunzi katika mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne, maarufu kama mtihani wa NECTA. Matokeo haya yanatumika kupima maarifa na ujuzi wa wanafunzi katika masomo mbalimbali, na ndio yanayoamua sifa za kujiunga na vyuo vya kati. Mapendekezo ya…
Browsing: Elimu
Elimu
Fahamu Sifa na Vigezo vya Kujiunga na Vyuo vya Ualimu Tanzania katika ngazi ya Cheti na Diploma katika vyuo mbalimbali vya Ualimu Tanzania. Aina za Mafunzo ya Ualimu Zinazotolewa Mafunzo yanayotolewa ni katika ngazi zifuatazo: Stashahada ya Ualimu Elimu ya Awali, Msingi na Elimu Maalumu (Miaka 2): Hii ni programu ya miaka miwili inayowalenga wahitimu wa Kidato cha Sita na walimu wenye Astashahada (Cheti) ya Ualimu. Stashahada Maalumu ya Ualimu Elimu ya Msingi (Miaka 3): Programu hii ni ya miaka mitatu na inalenga wahitimu wa Kidato cha Nne wenye ufaulu mzuri katika masomo ya sayansi, hisabati, na TEHAMA. Sifa za…
Chuo cha Mipango Dodoma fahamu sifa za Kujiunga na kozi zinaotolewa katika chuo cha IRDP Dodoma ,Ni muhimu kufahamu sifa na kozi kabla ya kutuma maombi ya kujiunga na chuo Makala hii imekuorodheshea vigezo vyote unavyopaswa kuwa navyo ili kujiunga chuo cha mipango ya maendeleo vijijini Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Mipango Dodoma Sifa za Kujiunga Programu za Shahada za Kwanza (Bachelor’s Degree Programs) Chuo cha Mipango Dodoma kinatoa programu kadhaa za shahada ya kwanza ambazo zinaangazia maeneo tofauti ya mipango na maendeleo. Ili kujiunga na mojawapo ya programu hizi, mwanafunzi anatakiwa kuwa na sifa maalum kulingana na kozi…
Je ni Kozi gani nikisoma nitapata mkopo wa Heslb ni swali ambalo wanafunzi wengi hujiuliza ,Makala hii imeorodhesha programu ambazo zinazopewa kipaumbele kwenye kupata mkopo kwa mujibu wa Heslb. Kozi Zenye Kipaumbele Kupata Mkopo HESLB kwa Ngazi ya Degree 1. Sayansi ya Afya Hii inajumuisha kozi kama Udaktari, Uuguzi, Ufamasia, na Maabara ya Kitabibu. Kozi hizi ni muhimu katika kuboresha sekta ya afya nchini. 2. Uhandisi Kozi za uhandisi kama vile Uhandisi wa Umeme, Uhandisi wa Ujenzi, na Uhandisi wa Kompyuta zina umuhimu mkubwa katika kukuza miundombinu na teknolojia nchini. 3. Kilimo Tanzania ikiwa nchi ya kilimo, kozi za Sayansi…
Serikali ya Tanzania kupitia bodi ya mikopo Heslb Walitangaza kuanza kutoa mikopo ya Elimu kwa wanafunzi wa ngazi ya Stashahada au Diploma Waliokidhi vigezo vya kupokea Mkopo huo ,Tumekuandalia makala hii kuorodhesha vigezo na Masharti ya kupata mkopo kwa ngazi ya stashahada. Vigezo vya Kupata Mkopo Ngazi ya Diploma Sheria na Kanuni za Bodi ya Mikopo zinaainisha sifa na vigezo vya jumla kwa wanafunzi wanaohitaji mkopo baada ya kudahiliwa na vyuo vyenye ithibati. Mwombaji atatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:- Awe Mtanzania mwenye umri usiozidi miaka 27 wakati wa kuomba mkopo; Awe amedahiliwa katika taasisi ya elimu inayotoa elimu ya ngazi…
Fahamu hatua unazopaswa kuzifuata ili kutuma Maombi ya Mkopo kwa Elimu ya juu Tanzania ili kufadhili Gharama za masomo yako endapo utakidhi vigezo na Masharti. Jinsi Ya Kuomba Mkopo Wa Elimu Ya Juu HESLB Kufanya Utafiti wa Sifa za Uhitimu Kabla ya kuanza mchakato wa kuomba mkopo, ni muhimu kujua vigezo vya uhitimu vilivyowekwa na HESLB. Vigezo hivi vinaweza kuwa vinahusu sifa za kitaaluma, kikomo cha umri, au programu za masomo. Ni muhimu kupitia na kufahamu masharti haya ili kuhakikisha kuwa unakidhi vigezo vinavyotakiwa. Kukusanya Nyaraka Zinazohitajika Ili kukamilisha maombi yako ya mkopo, utahitaji kutoa nyaraka kadhaa muhimu. Hizi nyaraka…
Fahamu mchanganuo wa madaraja ya ufaulu kidato cha site (Grading system) kufahamu alama ya ufaulu wako ,Makala hii imechambua alama zote A mpaka F Sambamba na maksi zake. Alama za Ufaulu Kidato cha Sita Uchakataji wa matokeo ya Upimaji wa Kidato cha Sita umezingatia viwango vya alama , madaraja ya ufaulu na utaratibu wa matumizi ya alama endelevu (CA) kama ifuatavyo Gredi Alama Uzito Wa Gredi (Pointi) Maelezo A 80-100 1 Excelent B 70-79 2 Very Good C 60-69 3 Good D 50-59 4 Average E 40-49 5 Satisfactory S 35-39 6 Subsidiary F 0-34 7 Fail Madaraja ya ufaulu…
Jiandae na Usaili wa Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kupitia Maswali mbalimbali ambayo wanapenda kuyauliza katika Interview zao ili ujiweke katika asilimia za kushinda na kupenya kwenye Usaili. Aina za Interview za TRA Mamlaka ya mapato Tanzania huwa na aina mbili za Usaili ambazo ni Usaili wa kuandika (Mtihani wa maswali manne) na usaili wa Ana kwa ana. Usaili wa Kuandika TRA: Huu ni Usaili wa awali ambao una mfumo wa usaili ambao watainiwa walioitwa kwenye Usaili hufanya mtihani wa kujieleza na sio maswali ya kuchagua. Usaili wa Ana kwa Ana : Mara baada ya Kufaulu kwenye Usaili wa awali…
Ngazi ya Diploma na Cheti: Ordinary Diploma in Biomedical Engineering Ordinary Diploma in Clinical Dentistry Ordinary Diploma in Clinical Medicine Ordinary Diploma in Health Records and Information Technology Ordinary Diploma in Medical Laboratory Sciences Ordinary Diploma in Nursing and Midwifery Ordinary Diploma in Occupational Health and Safety Technician Certificate in Nursing and Midwifery Ngazi ya Shahada na Uzamili: Bachelor in Medical Laboratory Sciences Bachelor of Medical Laboratory Science Bachelor of Pharmacy Bachelor of Science in Audiology and Speech Language Pathology Bachelor of Science in Clinical Nutrition and Dietetics Bachelor of Science in Diagnostic and Therapeutic Radiography Bachelor of Science…
Chuo cha Ufundi cha VETA (Vocal Education and Training Authority) ni taasisi inayojulikana kwa kutoa mafunzo ya ufundi na stadi za kazi nchini Tanzania. Miongoni mwa vipimo muhimu vinavyofanywa na VETA ni CBA (Competence-Based Assessment) na NABE (National Business and Technical Examinations). Vipimo hivi hutumiwa kutathmini ujuzi na uwezo wa wanafunzi katika kozi mbalimbali za ufundi. Katika makala hii, tutachunguza jinsi ya kuelewa, kuangalia, na kutumia matokeo ya VETA CBA na NABE. CBA na NABE: Je, Ni Nini? CBA (Competence-Based Assessment) CBA ni mfumo wa kutathmini ujuzi wa mwanafunzi kwa kuzingatia stadi za vitendo na uwezo wa kufanya kazi kwa…