Browsing: Biashara

Biashara

Safari za mabasi kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro ni moja ya safari maarufu nchini Tanzania, na zinahusisha idadi kubwa ya abiria kila siku. Hii ni kutokana na umbali mfupi kati ya miji hii miwili, pamoja na umuhimu wake wa kibiashara na kijamii. Morogoro ni moja ya miji mikuu inayozungukwa na maeneo ya kitalii, viwanda, na kilimo, na hivyo basi, inatoa fursa nyingi za ajira na biashara kwa wakazi wa Dar es Salaam na maeneo ya jirani. Makampuni ya mabasi yanayosafirisha Abiria Kutoka Dar es salaam kwenda morogoro Safari za mabasi kati ya Dar es Salaam na Morogoro ni maarufu…

Read More

Bei za mashine za kukoboa na kusaga full set ni shilingi ngapi ,Bei za mashine hutofautiana bei kutoana na ukubwa a uwezo ,Mahali inaponunuliwa. Katika makala hii, tutajadili bei za mashine za kukoboa na kusaga (full set). Aina za Mashine za Kukoboa na Kusaga Kuna aina mbalimbali za mashine za kukoboa na kusaga, ambazo hutofautiana kwa uwezo, ukubwa, na gharama. Baadhi ya aina maarufu ni: Mashine za Kukoboa (Shellers): Hutumika kukoboa mazao kama mahindi, uwele, na mtama. Mashine za Kusaga (Grinders): Hutumika kusaga mazao na malisho kwa ajili ya wanyama. Mashine za Kukoboa na Kusaga (Combined Shellers and Grinders): Vifaa…

Read More

ununuzi wa hisa za benki kama NMB ni njia ya kuwa na sehemu ya umiliki wa benki hiyo. Unapo-invest kwenye hisa, unapata haki ya kugawana faida inayozalishwa na benki kupitia gawio (dividendi) na pia kushiriki katika maamuzi muhimu yanayohusu kampuni. NMB Bank ni moja ya benki kubwa nchini Tanzania, na hisa zake zinauzwa kupitia Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Kwa hivyo, kabla ya kufanya ununuzi wa hisa hizi, ni muhimu kufahamu kidogo kuhusu utendaji wa NMB pamoja na bei ya soko ya hisa. Hatua za Kununua Hisa benki ya NMB  Jifunze Kuhusu NMB Bank Kabla ya kufanya…

Read More

Kabla ya kuanza kununua hisa, ni muhimu kuelewa kwa ufupi ni nini hisa na jinsi zinavyofanya kazi. Hisa ni sehemu ya umiliki katika kampuni. Unaponunua hisa za CRDB Bank, unakuwa mmiliki wa sehemu ndogo ya benki hiyo. Thamani ya hisa zako inaweza kupanda au kushuka kulingana na soko na utendaji wa benki. CRDB Bank Plc (Benki) ni Kampuni ya Umma yenye hisa, iliyoanzishwa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 1996 chini ya Sheria ya Makampuni, Sura ya 212 Sheria Namba 12. Benki iliorodheshwa kwenye Soko la Hisa la Dar Es Salaam (DSE) tarehe 17 Juni 2009. Kuwa na Akaunti…

Read More

Kama unataka kujikwamua kiuchumi lazima Ufikirie njia za Kujikwamua kiuchumi ambazo ni kufanya Biashara, Kutokana na Hali halisi ya maisha ya watanzania wa kipato cha chini mtaji unaweza kuwa changamoto kuanzisha biashara ,Makala hii tumeiandaa kukuchambulia biashara 20 ambazo unaweza ukazianza kwa mtaji mdogo lakini zinafaida kubwa. Biashara Ndogo Ndogo 20 Zenye Faida Kubwa kwa 1. Biashara ya Vyakula vya Haraka (Fast Food) Mahitaji ya vyakula vya haraka yanaongezeka kila siku, haswa mijini ambako watu wengi hawana muda wa kupika. Biashara ya vyakula kama maandazi, vitumbua, sambusa, na chipsi ina faida kubwa na mtaji mdogo. Faida: Ni rahisi kuvutia wateja…

Read More