Browsing: Biashara

Biashara

Kabla ya kuanza kununua hisa, ni muhimu kuelewa kwa ufupi ni nini hisa na jinsi zinavyofanya kazi. Hisa ni sehemu ya umiliki katika kampuni. Unaponunua hisa za CRDB Bank, unakuwa mmiliki wa sehemu ndogo ya benki hiyo. Thamani ya hisa zako inaweza kupanda au kushuka kulingana na soko na utendaji wa benki. CRDB Bank Plc (Benki) ni Kampuni ya Umma yenye hisa, iliyoanzishwa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 1996 chini ya Sheria ya Makampuni, Sura ya 212 Sheria Namba 12. Benki iliorodheshwa kwenye Soko la Hisa la Dar Es Salaam (DSE) tarehe 17 Juni 2009. Kuwa na Akaunti…

Read More

Kama unataka kujikwamua kiuchumi lazima Ufikirie njia za Kujikwamua kiuchumi ambazo ni kufanya Biashara, Kutokana na Hali halisi ya maisha ya watanzania wa kipato cha chini mtaji unaweza kuwa changamoto kuanzisha biashara ,Makala hii tumeiandaa kukuchambulia biashara 20 ambazo unaweza ukazianza kwa mtaji mdogo lakini zinafaida kubwa. Biashara Ndogo Ndogo 20 Zenye Faida Kubwa kwa 1. Biashara ya Vyakula vya Haraka (Fast Food) Mahitaji ya vyakula vya haraka yanaongezeka kila siku, haswa mijini ambako watu wengi hawana muda wa kupika. Biashara ya vyakula kama maandazi, vitumbua, sambusa, na chipsi ina faida kubwa na mtaji mdogo. Faida: Ni rahisi kuvutia wateja…

Read More