Kupata kazi ni moja ya changamoto kubwa zinazowakumba watu wengi, hasa katika zama hizi za ushindani mkubwa na ongezeko la idadi ya watu wanaotafuta ajira. Hata hivyo, kuna njia na mbinu ambazo unaweza kutumia ili kuongeza nafasi zako za kupata kazi haraka. Hapa, tutajadili baadhi ya “dawa” au mikakati ya kusaidia kupata kazi kwa haraka. Tambua Nguvu na Uwezo Wako Kabla ya kuanza kutafuta kazi, ni muhimu kujitathmini ili kujua uwezo, ujuzi, na vipaji vyako. Hii itakusaidia kuelewa ni aina gani ya kazi inayokufaa na maeneo unayohitaji kuboresha. Mfano: Kama una ujuzi katika masuala ya teknolojia ya habari, unaweza kuzingatia…
Browsing: Ajira Mpya
Ajira Mpya
Kama Ulikuwa ni miongoni mwa Walioomba ajira za TRA Zilizotangazwa mapema Mwak huu 2025 Basi makala hii inakuhusu ,Tumekudadavulia Jinsi ya kuangalia Majina kama Umechaguliwa kwenda kwenye Interiew. Historia Fupi Kuhusu Mamlaka ya Mapato ya Tanzania Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (kwa Kiingereza: Tanzania Revenue Authority; kifupi: TRA) ni shirika la serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililoanzishwa na Sheria ya Mapato ya Tanzania, Cap. 339 ya mwaka 1995 na kuanza shughuli zake rasmi tarehe 1 Julai 1996. Katika kutekeleza kazi zake kisheria, TRA inawajibika, katika kusimamia na kutoa sheria au masharti maalum ya sheria zilizowekwa katika ratiba ya…
Mkurugenzi wa Rasilimali watu na Utawala Mamlaka ya Mapato Tanzania ndugu Moshi Jonathan Kabengwe ameeleza kuwa TRA Wamepokea Maombi ya ajira 135,027 Baada ya Mchujo Walipata Watahiniwa Wallioidhi Vigezo 112,952 ambao wataitwa Kwenye Usaili kuchuana kugombania Nafasi 1,596 Za Ajira zilizotangazwa Ambapo usaili utafanyika Mikoa Mbalimbali kutegemeana na mtahiniwa alipoomba . Soma Hii :Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA 2025 PDF Download Vituo vya Kufanyia Usaili TRA Mamlaka ya Mapato Tanzania Interview Venue 2025 Bw. Kabengwe amesema usaili huo utafanyika kwenye Mikoa 8 na Zanzibar ambayo ni 1. Dar es Salaam ambayo itahusisha waombaji kutoka Dar es Salaam na Pwani.…
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Ametangaza Nafasi Mpya za Ajira za kujiunga na Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2025 Vijana wa Kitanzania wazalendo na wenye sifa na Vigezo kulitumikia kwa weredi Jeshi la polisi wanakaribishwa Kutuma Maombi. Taarifa ya Ajira za Jeshi la Polisi Muajiri : Jeshi la Polisi Tarehe ya mwisho Kupokea Maombi : 04/04/2025 Nchi : Tanzania Muhtasari Kuhusu Jeshi la Polisi Tanzania Jeshi la Polisi la Tanzania ni moja ya vyombo muhimu vya usalama nchini, linalohusika na kuhakikisha amani, utulivu, na usalama kwa wananchi. Madhumuni na Majukumu ya Jeshi la Polisi Kuhakikisha usalama wa raia na…
Kama Unataka kuomba kazi zilizotangazwa na Takukuru Basi zingatia Uandishi bora wa Barua yenye ushawishi ili uweze kuitwa kwenye Usaili Hapa chini nimekuwekea mfano au muundo wa Barua ya kuomba kazi Takukuru. Muundo wa Barua ya Kuomba Kazi Anwani Yako Jina lako Anwani yako Simu yako Barua pepe yako Tarehe Anwani ya Mwajiri Mkurugenzi Mkuu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Takukuru Street, S.L.P 1291 41101 Dodoma Salamu Mheshimiwa Mkurugenzi Mkuu, Kichwa cha Habari YAH: Maombi ya Nafasi ya Kazi ya Afisa Upelelezi II Utangulizi Eleza jinsi ulivyopata taarifa za kazi na nia yako ya kuomba nafasi hiyo.…
Fahamu Jinsi ya Kutuma Maombi Ya Kazi TAKUKURU (PCCB),Ku-Apply Ajira za Takukuru zilizotangazwa kupitia Mfumo wao wa Ajira wa TAKUKURU Ajira Portal. Njia za Kutuma Maombi ya Kazi PCCB TAKUKURU inakubali maombi kupitia njia mbili kuu: Njia ya Mtandao (Online Application) Ikiwa nafasi zinatangazwa kupitia mtandao, fuata hatua hizi: Tembelea tovuti rasmi ya TAKUKURU: https://ajira.pccb.go.tz/. Tafuta sehemu ya “Ajira” au “Vacancies”. Jaza fomu ya maombi mtandaoni kwa usahihi. Pakia nyaraka muhimu zilizoainishwa hapo juu. Hakikisha umehakiki taarifa zako kabla ya kubonyeza “Submit”. Baada ya kutuma, utapokea ujumbe wa uthibitisho katika barua pepe yako. Nyaraka Muhimu zinazohitajika ku-Apply Ajira za PCCB…
Mfumo wa kutuma maombi ya ajira katika Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (Tanzania Fire and Rescue Force) unafanyika kupitia mtandao rasmi wa https://ajira.zimamoto.go.tz Mfumo wa Maombi ya Ajira Jeshi la Zimamoto (Zimamoto Ajira Portal) Mfumo wa Maombi ya Ajira Jeshi la Zimamoto na Uokoaji almaharufu kama zimamoto Ajira Portal (ajira.zimamoto.go.tz) ni mfumo wa mtandao unaowezesha waombaji wa kazi katika Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kuwasilisha maombi yao kwa njia ya kidigitali. Mfumo huu umetengenezwa kwa teknolojia ya kisasa ili kurahisisha mchakato wa ajira kwa waombaji na jeshi lenyewe. Sifa na Vigezo vya Kujiunga Waombaji wanapaswa kuwa na sifa zifuatazo: Raia…
Mfumo wa Kutuma Maombi ya Ajira Za TRA (TRA Recruitment Portal Login) Huu ni mfumo Ulioanzishwa na mamlaka ya Mapato Tanzania ili kupokea Maombi ya Ajira Ambapo Muombajji anatakiwa kujisajili na kujaza taarifa zake huko ili kuweza kuwasilisha Mombi ya ajira zilizotangazwa. Jinsi ya Kuingia Kwenye Mfumo wa Ajira TRA (TRA recruitment Portal Login) Ili kufanikisha mchakato wa kuomba ajira TRA, unapaswa kufuata hatua zifuatazo: 1. Tembelea Tovuti Rasmi ya TRA Fungua kivinjari chako (browser) na tembelea tovuti ya mfumo wa ajira TRA kupitia kiungo rasmi: https://recruitment.tra.go.tz/tra_careers/Login.aspx 2. Ingia kwenye Sehemu ya Kuingia (Login) Ingiza anwani yako ya barua…
Jeshi la Uhamiaji ni miongoni mwa majeshi yanayopatikana Tanzania ambalo hujishugulisha na maswala yote ya uhamiaji,Kila mwaka hutangaza nafasi za ajira kwa vijana wenye vigezo waweze kujiunga ,Katika Makala hii tumeorodhesha sifa na Vigezo unavyopaswa kuwa navyo ili kujiunga na jeshi hili. Sifa za Kujiunga na Jeshi la Uhamiaji Tanzania 1. Uraia wa Tanzania Ili kujiunga na Jeshi la Uhamiaji, miongoni mwa sifa za msingi ni kuwa raia wa Tanzania. Hii ni muhimu kwa sababu Idara ya Uhamiaji inatakiwa kuwa na wafanyakazi ambao wanaipenda na kuiamini nchi yao na wanaweza kuunga mkono masuala ya kiusalama ya kitaifa. Hivyo, raia wa…
Jeshi la Uhamiaji Tanzania wametangaza Nafasi Mpya za kazi kwa Vijana wa kitanzania wanaokidhi Vigezo vya kulitumikia jeshi hilo ,Nafasi hizi zimetangazwa February 2025. Hizi hapa Nafasi za Kazi kutoka Jeshi la Uhamiaji Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana wa Kitanzania wenye sifa zifuatazo:- SIFA ZA MWOMBAJI Awe ni raia wa Tanzania; Awe hana ajira au hajawahi kuajiriwa na Taasisi yoyote Serikalini; Awe na Cheti cha Kuzaliwa; Awe na Kitambulisho cha Taifa au Namba…
