Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea kuwa moja ya taasisi zinazovutia watumishi wengi serikalini kutokana na mazingira bora ya kazi, mafao mazuri na nafasi za kukuza taaluma. Kwa mwaka 2025, TRA imetoa ajira mpya kwa waombaji mbalimbali waliokidhi vigezo, na sasa imeachia orodha ya majina ya walioitwa kazini. Kama wewe ni mmoja wa walioomba kazi TRA mwaka 2024/2025, basi makala hii ni muhimu sana kwako. Jinsi ya Kuangalia Majina ya Waliopata Kazi TRA 2025 Majina ya walioajiriwa yamewekwa wazi kupitia: Tovuti rasmi ya TRA: https://www.tra.go.tz/public-notice Kurasa za mitandao ya kijamii za TRA kama Facebook, Twitter, na LinkedIn. Tangazo rasmi kwenye…
Browsing: Ajira Mpya
Ajira Mpya
Anahitajika Mdada wa kuuza Duka la Vifaa ya simu DSM Mwenye sifa na Vigezo vilivyoainishwa Kwenye Picha Hapa chini ,Mshahara ni 400,000 kwa Mwezi na Mshahara unaweza ukaongezeka kutokana na Utendaji kazi na Kujituma kwa Muajiriwa. Maombi yote Yatumwe kwenye Email ifuatayo: Phoneaccessories2025@gmail.com Mwisho wa kupokea Maombi TAREHE 5 ,Mwezi wa 5 mwaka 2025
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza majina ya waombaji walioitwa kwenye usaili wa mahojiano (oral interview) kwa ajili ya nafasi mbalimbali za kazi. Taarifa hii imetolewa rasmi tarehe 25 April 2025 kupitia tovuti ya TRA na mitandao ya kijamii. Je, Matokeo ya Usaili wa Kuandika TRA 2025 Yanatoka Lini? Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimali Watu na Utawala wa TRA, Moshi Kabengwe, matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 29 na 30 Machi 2025 yanatarajiwa kutangazwa tarehe 25 Aprili 2025. Hii ni baada ya kuwasilishwa na mshauri elekezi tarehe 23 Aprili 2025. Jinsi ya…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekuwa ikifanya usaili wa kuandika kwa waombaji wa nafasi mbalimbali za kazi ili kuhakikisha inapata watumishi wenye sifa na uwezo unaohitajika. Kwa mwaka 2025, usaili huu umevutia waombaji wengi, na sasa wengi wanangojea kwa hamu matokeo ya usaili wa kuandika TRA 2025. TRA kwa kawaida hutangaza matokeo ya usaili ndani ya siku 7 hadi 21 baada ya kuhitimisha usaili wa kuandika. Kwa mujibu wa taarifa zilizopo hadi sasa, matokeo ya usaili wa kuandika TRA 2025 yanatarajiwa kutangazwa April 25 ,2025 Hata hivyo, waombaji wanashauriwa kufuatilia tovuti rasmi ya TRA mara kwa mara kwani tarehe zinaweza…
Survival Hospital Iliyop mkoani Kagera imetangaza Nafasi 2 za kazi za Nesi wasaidizi (Assistant Nursing Officer) kwa Waliosomea Taauma ya Unesi Wanakaribishwa kutuma Maombi yao kabla ya Tarehe 30 Mwezi Huu wa nne mwaka 2025. Taarifa zaidi Kuhusu Nafasi za kazi zilizotangazwa Survival Hospital Jina la Taasisi inayoajiri : Survival Hospital Mahali au Mkoa : Kagera Nafasi zilizotangazwa: Assistant Nursing Officer(02) Mwisho wa kupokea Maombi: Tarehe 30 /April /2024 Soma hii: Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Polisi Tanzania 2025 PDF Nafasi za kazi Survival Hospital -Assistant Nursing Officer Download Tangazo katika PDF HAPA
Kila mwaka Jeshi la Polisi Tanzania hutangaza ajira mpya kwa vijana waliohitimu masomo yao na wenye sifa zinazostahili. Mwaka 2025 haukuwa tofauti. Tangazo la majina ya walioitwa kwenye usaili wa Jeshi la Polisi limekuwa likisubiriwa kwa hamu na mamia ya waombaji kote nchini. Jinsi ya Kuangalia Majina ya Walioitwa Kwenye Interview Jeshi la Polisi Tanzania 2025 Ili kuangalia majina ya walioitwa kwenye usaili wa Polisi, fuata hatua hizi: Tembelea Tovuti Rasmi ya Jeshi la Polisi:https://www.polisi.go.tz Nenda kwenye sehemu ya Matangazo au AjiraKawaida tangazo huwekwa kama “Orodha ya Walioitwa Kwenye Usaili wa Polisi 2025”. Pakua PDF ya orodha ya majinaMara nyingi…
Mamlaka ya Mapato Tanzania -TRA Wametangaza Tarehe Rasmi ya kutangaza Matokeo ya Usaili wa kuandika Uiofanyika kuanzia March 29 mpaka April 5 nchi nzima. Akizungumzia mchakato huo leo Jumatano Aprili 2, 2025 Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimali watu na Utawala, Moshi Kabengwe amesema baada ya majina kutangazwa usaili wa vitendo na mahojiano utafuata. Kabengwe amesema usaili wa vitendo utaanza Mei 2, 2025 hadi 4 kwa kada ya madereva na waandishi waendesha ofisi, huku usaili wa mahojiano kwa kada nyingine utafanyika kuanzia Mei 7 hadi 9. Pia, ameeleza kuwa watakaofanikiwa kupita katika hatua hiyo wataarifiwa Mei 18, 2025 na kuanza mafunzo…
Shirika la Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) ni taasisi ya serikali inayosaidia Watanzania kupata ajira kwa kuwahusisha na waajiri, kutoa mafunzo ya ujuzi, na kuwaunganisha na fursa za ajira ndani na nje ya nchi. Ikiwa unatafuta ajira kupitia TaESA, ni muhimu kujisajili katika mfumo wao rasmi ili kupata taarifa za nafasi za kazi na huduma nyingine muhimu. Mahitaji ya Kujisajili katika TaESA Kabla ya kuanza mchakato wa usajili, hakikisha una: Nakala ya Cheti cha Kuzaliwa au Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Wasifu wa Kitaaluma (CV) ulioandikwa kwa usahihi Vyeti vya Elimu na Taaluma Barua ya Utambulisho (kwa wahitimu wapya au wanaotafuta…
Sekta ya viwanda inachukua nafasi muhimu katika uchumi wa dunia, na inaendelea kutoa nafasi nyingi za ajira katika maeneo mbalimbali. Viwanda vinahitaji wafanyakazi wenye ujuzi maalum ili kusaidia katika uzalishaji, usimamizi wa mitambo, usalama kazini, na shughuli zingine muhimu. Kwa hiyo, kama unatafuta kazi katika sekta hii, kuna fursa nyingi ambazo unaweza kuchunguza. 1. Nafasi za Kazi za Ufundi (Technicians) Wafanyakazi wa ufundi ni muhimu katika viwanda kwani wanahusika na matengenezo na uendeshaji wa mitambo na mashine zinazotumika katika uzalishaji. Nafasi za kazi za ufundi ni pamoja na: Mafundi Mitambo: Hawa ni wataalamu wanaohusika na matengenezo na usimamizi wa mitambo…
Soko la ajira viwandani linaendelea kuwa na nafasi nyingi, hasa kwa watu wanaotafuta kazi katika sekta ya uzalishaji na viwanda. Viwanda vingi vinahitaji nguvu kazi kubwa, lakini ushindani ni mkali, na ni muhimu kufahamu mbinu bora za kuongeza nafasi zako za kupata kazi. Hatua za Kuandaa Maombi ya Kazi Andika Wasifu Bora wa Kazi (CV) Wasifu wa kazi ni nyaraka muhimu inayomwelezea mwajiri uwezo wako, uzoefu, na elimu. Ni muhimu kuandika wasifu ulio wazi na unaojitosheleza. Hakikisha unaonyesha ujuzi na uzoefu unaohusiana na kazi unayoomba. Andika Barua ya Maombi ya Kazi Barua ya maombi ya kazi ni sehemu muhimu ya…
