Browsing: Ajira Mpya

Ajira Mpya

Kama Unataka kuomba kazi zilizotangazwa na Takukuru Basi zingatia Uandishi bora wa Barua yenye ushawishi ili uweze kuitwa kwenye Usaili Hapa chini nimekuwekea mfano au muundo wa Barua ya kuomba kazi Takukuru. Muundo wa Barua ya Kuomba Kazi Anwani Yako Jina lako Anwani yako Simu yako Barua pepe yako Tarehe Anwani ya Mwajiri Mkurugenzi Mkuu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Takukuru Street, S.L.P 1291 41101 Dodoma Salamu Mheshimiwa Mkurugenzi Mkuu, Kichwa cha Habari YAH: Maombi ya Nafasi ya Kazi ya Afisa Upelelezi II Utangulizi Eleza jinsi ulivyopata taarifa za kazi na nia yako ya kuomba nafasi hiyo.…

Read More

Fahamu Jinsi ya Kutuma Maombi Ya Kazi TAKUKURU (PCCB),Ku-Apply Ajira za Takukuru zilizotangazwa kupitia Mfumo wao wa Ajira wa TAKUKURU Ajira Portal. Njia za Kutuma Maombi ya Kazi PCCB TAKUKURU inakubali maombi kupitia njia mbili kuu: Njia ya Mtandao (Online Application) Ikiwa nafasi zinatangazwa kupitia mtandao, fuata hatua hizi: Tembelea tovuti rasmi ya TAKUKURU: https://ajira.pccb.go.tz/. Tafuta sehemu ya “Ajira” au “Vacancies”. Jaza fomu ya maombi mtandaoni kwa usahihi. Pakia nyaraka muhimu zilizoainishwa hapo juu. Hakikisha umehakiki taarifa zako kabla ya kubonyeza “Submit”. Baada ya kutuma, utapokea ujumbe wa uthibitisho katika barua pepe yako. Nyaraka Muhimu zinazohitajika ku-Apply Ajira za PCCB…

Read More

Kama Ulikuwa ni miongoni mwa Walioomba ajira za TRA Zilizotangazwa mapema Mwak huu 2025 Basi makala hii inakuhusu ,Tumekudadavulia Jinsi ya kuangalia Majina kama Umechaguliwa kwenda kwenye Interiew. Historia Fupi Kuhusu Mamlaka ya Mapato ya Tanzania Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (kwa Kiingereza: Tanzania Revenue Authority; kifupi: TRA) ni shirika la serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililoanzishwa na Sheria ya Mapato ya Tanzania, Cap. 339 ya mwaka 1995 na kuanza shughuli zake rasmi tarehe 1 Julai 1996. Katika kutekeleza kazi zake kisheria, TRA inawajibika, katika kusimamia na kutoa sheria au masharti maalum ya sheria zilizowekwa katika ratiba ya…

Read More

Mfumo wa kutuma maombi ya ajira katika Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (Tanzania Fire and Rescue Force) unafanyika kupitia mtandao rasmi wa  https://ajira.zimamoto.go.tz Mfumo wa Maombi ya Ajira Jeshi la Zimamoto (Zimamoto Ajira Portal) Mfumo wa Maombi ya Ajira Jeshi la Zimamoto na Uokoaji almaharufu kama zimamoto Ajira Portal (ajira.zimamoto.go.tz) ni mfumo wa mtandao unaowezesha waombaji wa kazi katika Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kuwasilisha maombi yao kwa njia ya kidigitali. Mfumo huu umetengenezwa kwa teknolojia ya kisasa ili kurahisisha mchakato wa ajira kwa waombaji na jeshi lenyewe. Sifa na Vigezo vya Kujiunga Waombaji wanapaswa kuwa na sifa zifuatazo: Raia…

Read More

Mfumo wa Kutuma Maombi ya Ajira Za TRA (TRA Recruitment Portal Login) Huu ni mfumo Ulioanzishwa na mamlaka ya Mapato Tanzania ili kupokea Maombi ya Ajira Ambapo Muombajji anatakiwa kujisajili na kujaza taarifa zake huko ili kuweza kuwasilisha Mombi ya ajira zilizotangazwa. Jinsi ya Kuingia Kwenye Mfumo wa Ajira TRA (TRA recruitment Portal Login) Ili kufanikisha mchakato wa kuomba ajira TRA, unapaswa kufuata hatua zifuatazo: 1. Tembelea Tovuti Rasmi ya TRA Fungua kivinjari chako (browser) na tembelea tovuti ya mfumo wa ajira TRA kupitia kiungo rasmi: https://recruitment.tra.go.tz/tra_careers/Login.aspx 2. Ingia kwenye Sehemu ya Kuingia (Login) Ingiza anwani yako ya barua…

Read More

Jeshi la Uhamiaji ni miongoni mwa majeshi yanayopatikana Tanzania ambalo hujishugulisha na maswala yote ya uhamiaji,Kila mwaka hutangaza nafasi za ajira kwa vijana wenye vigezo waweze kujiunga ,Katika Makala hii tumeorodhesha sifa na Vigezo unavyopaswa kuwa navyo ili kujiunga na jeshi hili. Sifa za Kujiunga na Jeshi la Uhamiaji Tanzania 1. Uraia wa Tanzania Ili kujiunga na Jeshi la Uhamiaji, miongoni mwa sifa za msingi ni kuwa raia wa Tanzania. Hii ni muhimu kwa sababu Idara ya Uhamiaji inatakiwa kuwa na wafanyakazi ambao wanaipenda na kuiamini nchi yao na wanaweza kuunga mkono masuala ya kiusalama ya kitaifa. Hivyo, raia wa…

Read More

Jeshi la Uhamiaji Tanzania wametangaza Nafasi Mpya za kazi kwa Vijana wa kitanzania wanaokidhi Vigezo vya kulitumikia jeshi hilo ,Nafasi hizi zimetangazwa February 2025. Hizi hapa Nafasi za Kazi kutoka Jeshi la Uhamiaji Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana wa Kitanzania wenye sifa zifuatazo:- SIFA ZA MWOMBAJI Awe ni raia wa Tanzania; Awe hana ajira au hajawahi kuajiriwa na Taasisi yoyote Serikalini; Awe na Cheti cha Kuzaliwa; Awe na Kitambulisho cha Taifa au Namba…

Read More

Rasmi Utumishi wametangaza Matokeo ya Usaili wa kuandika wa somo la Biology uliofanyika  tarehe 22/02/2025 ,Wote walioaulu na kuchaguliwa kwaajili ya hatua inayofuata wanashauriwa kubeba  vyeti vyao orijino pamoja na kitambulisho siku ya usaili wa mahojiano. Jinsi ya Kuangalia Majina ya Waliofaulu Usaili Bonyeza Hapo chini kupakuwa Dokumenti iliyopo katika mfumo wa PDF Uweze kuangalia Jina lako kwa kutumia namba yao ambayo ulipewa kwene Mtihani Download Majina katika PDF

Read More