Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Chanzo cha vidonda vya tumbo (Madonda ya tumbo)
Vidonda vya tumbo, pia hujulikana kama madonda ya tumbo (peptic ulcers), ni majeraha au vidonda vinavyojitokeza kwenye kuta za ndani za tumbo, utumbo mdogo (duodenum), au sehemu ya juu ya [Read Post]
