Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Sababu Za Mwanaume Kuwahi Kumwaga
Kuwahi kumwaga, au kwa kitaalamu “Premature Ejaculation” (PE), ni hali ambapo mwanaume humaliza tendo la ndoa mapema mno kuliko yeye au mwenza wake anavyotamani. Hili ni tatizo la kawaida sana [Read Post]
