Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Dalili za ugonjwa wa pangusa kwa mwanaume
Ugonjwa wa Pangusa (Trichomoniasis) ni mojawapo ya magonjwa ya zinaa yanayosababishwa na protozoa aitwaye Trichomonas vaginalis. Ingawa mara nyingi huongelewa kwa wanawake, wanaume pia huathirika na wanaweza kuwa wasambazaji wakuu [Read Post]
