Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Chanjo ya homa ya manjano
Homa ya manjano (Yellow Fever) ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi vinavyoenezwa na mbu aina ya Aedes aegypti. Ugonjwa huu husababisha homa kali, maumivu ya kichwa, kichefuchefu, rangi ya ngozi [Read Post]
