Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Vyakula vyenye folic acid kwa wingi
Folic Acid (Vitamin B9) ni vitamini muhimu kwa afya ya seli, damu, na ukuaji wa mtoto tumboni. Hii vitamini inapatikana katika vyakula vingi vya asili na ni muhimu kwa wanawake [Read Post]
