Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Kifua kikuu husababishwa na nini
Kifua kikuu (Tuberculosis – TB) ni mojawapo ya magonjwa ya kuambukiza yanayosababisha vifo vingi duniani kila mwaka, hasa katika nchi zinazoendelea. Ingawa TB ni ya zamani, bado inaathiri watu wengi [Read Post]
