Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Ugonjwa wa malale husababishwa na nini
Ugonjwa wa Malale ni ugonjwa hatari unaoathiri watu wengi katika maeneo ya vijijini barani Afrika, hasa kusini mwa jangwa la Sahara. Ugonjwa huu unaosababishwa na vimelea vinavyoitwa Trypanosoma huathiri damu, [Read Post]
