Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Dawa ya chembe ya moyo ni nini
Chembe ya moyo (Heart Attack) ni hali ya dharura inayotokea pale mishipa ya damu inayolisha moyo inapojaa au kuziba, na hivyo kuzuia mtiririko wa damu na oksijeni kufika kwenye misuli [Read Post]
