Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Dalili za ugonjwa wa Mchafuko wa Damu, Sababu na Tiba
Mchafuko wa damu (Sepsis) ni hali hatari kiafya inayotokea pale mwili unapopata maambukizi makubwa na mfumo wa kinga kushindwa kudhibiti hali hiyo, hivyo kuathiri viungo muhimu kama moyo, figo, mapafu, [Read Post]
