Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Dalili za Ugonjwa wa Wengu, Sababu na Tiba
Wengu (Spleen) ni kiungo kidogo kilicho upande wa kushoto juu ya tumbo, karibu na mbavu. Licha ya ukubwa wake mdogo, wengu una kazi muhimu sana mwilini, ikiwemo kuchuja damu, kuhifadhi [Read Post]
