Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Pumu inaambukiza kwa njia gani
Pumu (Asthma) ni ugonjwa wa muda mrefu unaoathiri njia za hewa za mapafu. Moja ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara ni “Je, pumu inaambukiza kwa mtu mwingine?”. Watu wengi wanafikiri [Read Post]
