Kuwashwa sehemu za siri ni tatizo linaloweza kumkumba kila mwanamke kwa wakati fulani. Ingawa mara nyingi hali hii inaweza kuwa isiyo na madhara makubwa, inaweza kuwa chanzo cha usumbufu na mara nyingine hata maumivu. Sehemu za siri za mwanamke (uke na maeneo ya karibu) ni nyeti na zinahitaji uangalizi wa kipekee. Sababu Zinazopelekea Mwanamke Kuwashwa Sehemu Za Siri: Zifuatazo ni baadhi ya sababu zinazopelekea mwanamke kuwashwa sehemu za siri ambazo ni pamoja na; 1) Maambukizi Ya Fangasi Ukeni. Maambukizi ya fangasi ukeni hujulikana kwa kitaalamu kama yeast infection. Maambukizi haya ni moja ya tatizo kwa wanawake linalosababishwa na fangasi waitwao…
Browsing: Afya
Afya
Fangasi ukeni ni moja ya matatizo ya afya ya wanawake ambayo mara nyingi husababisha usumbufu mkubwa, ikiwa ni pamoja na muwasho, kutokwa na uchafu wenye harufu, na maumivu wakati wa kujamiiana. Ingawa kuna matibabu mengi ya kibiashara yanayotolewa kwa ajili ya fangasi ukeni, baadhi ya wanawake wanapendelea kutumia dawa za asili kutibu tatizo hili. Fangasi Ukeni: Fangasi ukeni ni muwasho sehemu ya ndani ya uke ambao unaweza kuambatana pia na kuvimba kwa uke. Maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekuwa ni tatizo kubwa sana duniani, 75% ya wanawake wote duniani wanaosumbuliwa na tatizo hili wanatafuta dawa ya fangasi ukeni kila…
Pelvic Inflammatory Disease (PID) ni maambukizi ya viungo vya uzazi vya mwanamke, hasa mfuko wa kizazi, mirija ya fallopian, na mayai, ambayo hutokea wakati bakteria yanaingia kwenye mfumo wa uzazi. PID ni tatizo la kiafya linaloweza kuathiri wanawake wa umri wa kuzaa, na mara nyingi linahusiana na maambukizi ya zinaa, kama vile chlamydia na gonorrhea. Chanzo Cha PID Kuna bakteria wa aina nyingi wanaoweza kusababisha PID, lakini maambukizo ya gonorrhea na chlamydia ndiyo yanayoonekana zaidi. Bakteria hao huambukiza wakati tendo la ndoa linapofanyika bila ya kutumia kinga. Aghalabu, bakteria hawa huingia kwenye viungo ya uzazi vya mwanamke pale ulinzi…
Fahamu Orodha ya Vyakula vya Kuongeza Nguvu za Kiume kwa Haraka Bila kupoteza pesa kwa kuwalipa au Kununua madawa feki mtandaoni. Tatizo la nguvu za kiume limekuwa tatizo la taifa kwa Wanaume na vijana wa leo kuanzia miaka 20 kuendelea lakini Ukweli ni kwamba si kila anayeshindwa kusimamisha au kufanya tendo kwamba anauungufu wa nguvu za kiume wengine husababishwa na hofu au kukosa kuandaliwa kisaikolojia au Mwenza mwenye mdomo ambaye kitanda hugeuza mahakama. NGUVU ZA KIUME NI NINI? Tunapozungumzia nguvu za kiume ni uwezo wa mwanaune kusimamisha uume kutokana na kupatwa na hisia za kushirikintendonla ndoa. Katika kusimamisha huku kuna…
Huna haja ya kupoteza pesa kwa kununua madawa ya kupungua uzito au kukata kitambi ilihali unaweza kujitengenezea Detox yako ,ili kufaham hatua soma habari hii mpaka mwisho. Detox ninini? Ni mchanganyiko wa maji na virutubisho kadhaa au viungo kadhaa vyenye nia ya kuusafisha mwili na mifumo yake. Faida za Detox Kuondoa Sumu Mwilini Detox inasaidia kusafisha ini, figo, na mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, ambao ndio maeneo yanayohifadhi sumu mwilini. Kuboresha Ngozi Detox inachangia ngozi kuwa safi, yenye unyevunyevu na mwonekano wa afya kwa sababu huondoa uchafu unaosababisha chunusi na madoa. Kuongeza Nishati Unaposaidia mwili kuondoa sumu, mfumo wa mwili…