Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Dalili za Ugonjwa wa Typhoid,Sababu na Tiba yake
Ugonjwa wa Typhoid ni moja ya magonjwa ya kuambukiza yanayosababishwa na bakteria aitwaye Salmonella Typhi. Ni ugonjwa unaoenea zaidi katika maeneo yenye changamoto za usafi wa mazingira na maji machafu. [Read Post]
