Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Dawa ya Surua Kwa Watoto
Surua ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na virusi vya measles, unaowakumba watoto wa umri tofauti, hasa wale ambao hawajachanjwa. Ugonjwa huu unaweza kusababisha matatizo makubwa ikiwa hautatibiwa mapema, hivyo ni [Read Post]
