Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Dalili za kilimi au Kimeo kwa mtoto
Kilimi (au kimeo) ni kiungo kidogo kilichopo nyuma ya koo, kinachoning’inia katikati ya kaakaa (palate). Ingawa mara nyingi huwa hakisababishi shida kubwa, baadhi ya watoto wanaweza kupata matatizo yanayohusiana na [Read Post]
