Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Kimeo Husababishwa na Nini?
Kimeo ni ile sehemu ndogo ya nyama inayoning’inia nyuma ya koo (uvula). Watu wengi huchanganya kati ya kimeo na kilimi, lakini kwa Kiswahili cha kawaida vyote hurejelea ile sehemu ya [Read Post]
