Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Madhara ya kubeba mimba ukiwa na mtoto mdogo
Baada ya kujifungua mtoto, wengi wa wazazi hupanga kuchukua muda kabla ya kupata ujauzito mwingine. Hata hivyo, kuna matukio ambapo mama hubeba mimba nyingine muda mfupi tu baada ya kujifungua. [Read Post]
