Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Madhara ya kufanya mapenzi na mwanamke mwenye pid
PID (Pelvic Inflammatory Disease) ni ugonjwa unaoathiri viungo vya uzazi wa ndani kwa wanawake, hususani mirija ya uzazi (fallopian tubes), ovari, na mfuko wa uzazi (uterus). Mara nyingi husababishwa na [Read Post]
