Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Ukosefu wa madini ya chuma husababisha ugonjwa gani
Madini ya chuma ni kirutubisho muhimu sana kwa afya ya mwili wa binadamu. Yanahitajika katika kutengeneza hemoglobini – protini inayopatikana kwenye seli nyekundu za damu na inayosaidia kubeba oksijeni kutoka [Read Post]
