Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Madhara ya soda kwa mama mjamzito
Katika kipindi cha ujauzito, kila chakula na kinywaji anachotumia mama mjamzito huathiri moja kwa moja afya yake na afya ya mtoto tumboni. Mojawapo ya vinywaji vinavyoibua maswali mengi ni soda [Read Post]
