Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Vyakula Vya Mama Mjamzito Miezi Mitatu Ya Mwanzo
Miezi mitatu ya mwanzo ya ujauzito ni kipindi nyeti sana kwa mama na mtoto aliye tumboni. Huu ndio wakati ambapo kiinitete (embryo) kinaunda viungo muhimu kama moyo, ubongo, uti wa [Read Post]
