Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
kazi ya damu mwilini ni nini
Damu ni kiungo muhimu sana katika mwili wa binadamu. Bila damu, viungo vyote vya mwili haviwezi kufanya kazi ipasavyo. Damu ni aina ya tishu ya majimaji ambayo husafiri katika mwili [Read Post]
