Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Je unaweza kufanya mapenzi na mtu mwenye ukimwi na usipate
Katika jamii nyingi, kuna hofu kubwa kuhusu ugonjwa wa UKIMWI, hasa pale inapohusisha mahusiano ya kimapenzi. Swali linaloulizwa sana ni: “Je, inawezekana kufanya mapenzi na mtu mwenye UKIMWI bila kuambukizwa?” [Read Post]
