Browsing: Afya

Afya

Wakati wa kunyonyesha, wanawake mara nyingi hujiuliza kama wanaweza kupata ujauzito, kwani baadhi yao huamini kwamba kunyonyesha pekee kunaweza kuwa njia ya kuzuia mimba. Hata hivyo, suala hili ni tata na linategemea mambo mbalimbali, kama vile jinsi mtoto anavyonyonya, mzunguko wa hedhi wa mama, na afya yake kwa ujumla. Katika makala hii, tutachunguza ikiwa mama anayenyonyesha anaweza kupata ujauzito, na vipi kunyonyesha kunavyoweza kuathiri uwezekano wa kupata mimba. 1. Kunyonyesha Kama Njia ya Kuzuia Ujauzito Kunyonyesha kunaweza kuwa na athari kubwa kwenye mzunguko wa homoni wa mama, na mara nyingi homoni hizi zinazuia ovulation (kutolewa kwa yai kutoka kwa ovari),…

Read More

Kwa ujumla, mjamzito hawezi kupata hedhi. Hedhi hutokea kwa sababu ya kushuka kwa homoni ya progesterone na estradiol baada ya kutungika kwa mimba, ambapo mzunguko wa homoni huanzisha kuanza kwa mwezi mpya wa hedhi. Katika hali ya ujauzito, mwili wa mjamzito hutengeneza homoni za hCG (human chorionic gonadotropin), ambazo hutunza ujauzito na kuzuiya mzunguko wa hedhi. Hii ina maana kwamba, wakati mwanamke anaposhika ujauzito, kiinitete kinachoshikilia mimba hakitasababisha mzunguko wa hedhi, hivyo mwanamke hawezi kuwa na hedhi kwa kipindi chote cha ujauzito. Tafiti zinaonesha kwamba asilimia 10 mpaka 15 ya Wajawazito huweza kupata Dalili za kutokwa na Damu katika Ujauzito…

Read More

Kutokwa damu kipindi cha ujauzito ni hali ambayo wanawake wengi wanakutana nayo, lakini ni suala ambalo linapaswa kushughulikiwa kwa umakini mkubwa. Ingawa si kila kutokwa damu ni dalili ya tatizo kubwa, baadhi ya hali zinazohusiana na kutokwa damu wakati wa ujauzito zinaweza kuwa na madhara makubwa kwa mama na mtoto. Kumbuka: Kutokwa na Damu katika mwezi wa kwanza wa Ujauzito, endapo ikiwa inafanana na siku ya Hedhi kabla ya kupata Ujauzito ijapokuwa Damu zinatoka kidogo na kwa siku chache huwa inatokana na Mimba baada ya kutungwa inapojishikiza kwenye Mji wa Uzazi. Endapo hutokana na Hali hii Mimba inaposhikiza kwenye Mji…

Read More

Wanandoa Wengi ambao ni wazazi watarajiwa wamekuwa wakijiuliza swali hili maranying Je Tendo la Ndoa Kwa Mjamzito Mwisho Lini Kufanya? JIBU: Mjamzito anaweza kushiriki Tendo la Ndoa kipindi chote cha Ujauzito wake kuanzia Mimba inapokuwa na wiki 1 hadi Mimba inapokuwa imekomaa na kipindi ambacho anaelekea kujifungua(Wiki 37 hadi 42), japokuwa kuna Mambo ambayo yanaweza fanya Mjamzito asishiriki tendo la Ndoa hata kama ana hamu au shauku ya kufanya Mapenzi au kushiriki Tendo ndo la Ndoa na mwenza wake. MJAMZITO USISHIRIKI TENDO LA NDOA KAMA UNA SIFA HIZI. Mama Mjamzito hatoruhusiwa kushiriki Tendo la Ndoa hata kama anapata hamu au…

Read More

Kitunguu saumu au kitunguu swaumu (garlic) kina mchango wa kiafya unaoweza kuwa na manufaa kwa wanawake katika hali kadhaa. Hata hivyo, inapaswa kutumiwa kwa tahadhari na kwa ushauri wa daktari, hasa kwa wanawake wenye maambukizi ya uzazi. Baadhi ya faida na matumizi ya kitunguu saumu ni kama ifuatavyo: Faida Za Kitunguu Saumu Kwa Mwanamke 1) Kuongeza Kinga Ya Mwili. Kitunguu saumu kina virutubisho vyenye uwezo wa kuongeza kinga ya mwili wa mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na magonjwa ya kuambukiza kama vile mafua na homa. 2) Kupunguza Hatari Ya Magonjwa Ya Moyo. Inaaminika kuwa matumizi ya mara…

Read More

Ufahamu Ugonjwa wa Homa ya Nyani (Monkey pox) – Dalili, Matibabu na Kinga kupitia makala hii utaweza kuuahamu kwa kina huu ugonjwa . Homa ya nyani ni nini? Homa ya nyani ni kirusi ambacho wanasayansi walikibaini kwa nyani kwa mara ya kwanza mwaka 1958, na jina hili la “Monkeypox” ndiyo lilitokana na ugunduzi huo Kirusi hiki kilibainika kwa binadamu kwa mara ya kwanza mwaka 1970 Ugonjwa wa homa ya nyani unatoka kwenye familia moja ya kirusi kinachofanana na kama kile cha ugonjwa wa ndui (smallpox), lakini hakisababishi ugonjwa hatari sana kama ilivyo kile kinachosababisha ugonjwa wa ndui Wakati tukiandika makala…

Read More

Fahamu Utaratibu wa Kupima DNA Tanzania Bei za Gharama na Hospitali zinazopima, Watu wengi walikuwa wakitamani kufanya vipimo vya Vinasaba kujiridhisha juu ya ukweli wa watoto zao lakini hawajui waanzie wapi kukamilisha hilo ndio mana tumesukumwa kuandaa makala hii kuwafahamisha Utaratibu na Orodha ya hospitali zinazotoa huduma ya vipimo vya DNA. Umuhimu wa Upimaji wa DNA 1. Kuelewa Tabia na Sifa za Kibaolojia Upimaji wa DNA unaruhusu kinafasi kuelewa jinsi gani gene na maumbo mengine ya vinasaba yanavyoathiri tabia na sifa za kibaolojia za viumbehai. Hii ni muhimu katika kuelewa misingi ya magonjwa na hata sifa zinazotambulika za kila aina…

Read More

Ufahamu Ugonjwa wa Bawasiri kwa Wanaume Dalili na Tiba zake za kihospitali na Tiba za asili zinazoweza kumaliza tatizo hili linalowatesa wanaume wengi. Bawasiri ninini? Bawasiri ni kuvimba kwa mishipa ya damu iliyopo ndani ya au katika eneo linalozunguka njia ya haja kubwa. Ni hali ambayo inaweza kusababisha nyama kujitokeza nje. Hivyo bawasiri inaweza kuwa bawasiri ya ndani au bawasiri ya nje. Ugonjwa huu unaweza kusababisha mwasho, maumivu na damu au kamasi kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa ingawa wakati mwingine hauna dalili. Madhara ya bawasiri ya ndani ni pamoja na damu kutoka wakati wa kujisaidia, damu kuganda ndani ya…

Read More

Fangasi za Sehemu zasiri kama vile ukeni au kwenye Mapumbu kwa wanaume ni Ugonjwa unaowatesa Vijana  wengi ,Tatizo au ugonjwa.Makala hii inakupa Muongozo sahihi wa kutibu fangasi kwa wanaume na wanawake. Fangasi za ukeni ni nini? Fangasi sehem za siri ni ugonjwa unaotokana na wadudu wanaolinda eneo hili wanaoitwa candida. Candida huishi ndani Ya mwili katika sehemu kama (mdomo, koromeo, ndani Ya tumbo na sehem za siri) na juu ya ngozi bila kuleta shida Yoyote. Baadhi ya muda candida hujizalisha kwa wingi mwilini hivyo husababisha tatizo katika sehemu waliyojaa hususani sehemu za siri hii hutokea pale ambapo sehemu ya siri…

Read More

Genital Warts ni mojawapo ya magonjwa ya zinaa yanayosababishwa na virusi vya Human Papillomavirus (HPV). Ugonjwa huu husababisha uvimbe mdogo au vinyama laini vinavyoota kwenye sehemu za siri za mwanamke au mwanaume. Ni ugonjwa wa kawaida unaoathiri watu wengi ulimwenguni, hasa wale walio na maisha ya ngono yasiyo salama. Ugonjwa huu husambazwa kwa mgusano wa ngozi kwa ngozi hasa wakati wa ngono, japo migusano mingine ya maeneo athirika isiyohusisha ngono inaweza pia kuwa chanzo cha kusambaa kwake. Virusi wanaosababisha ugonjwa huu huwa na uhusiano wa moja kwa moja na kutokea kwa saratani ya mlango wa kizazi, saratani ya koo, uke,…

Read More